Nzie ya Mana
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,515
- 1,730
Anaandaa Zimbabwe hapa!Rais wa Sasa amekuta Nchi haina fedha, magufuli aliharibu uchumi wa Nchi kwa miradi mfululizo na mikopo ghali ya riba kubwa na ya muda mfupi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaandaa Zimbabwe hapa!Rais wa Sasa amekuta Nchi haina fedha, magufuli aliharibu uchumi wa Nchi kwa miradi mfululizo na mikopo ghali ya riba kubwa na ya muda mfupi
Rais wa Sasa amekuta Nchi haina fedha, magufuli aliharibu uchumi wa Nchi kwa miradi mfululizo na mikopo ghali ya riba kubwa na ya muda mfupi
Unamchukia sababu ya dini yake, ana akitoka Samia anaingia January au Ridhiwan Kikwete, wa imani yenu Ni makatili hawafai kupewa nchiYeye si ndiye alikuwa makamu wa Magu,Mama amefuja pesa kwa kununua maushungi na madera mengi.
Huu ndio ukweli wenyewe.. ila sasa huyu mama yeye hajawa smart sana. Alipaswa kubana matumizi ya serikali badala ya kuruhusu wananchi waumizwe.Rais wa Sasa amekuta Nchi haina fedha, magufuli aliharibu uchumi wa Nchi kwa miradi mfululizo na mikopo ghali ya riba kubwa na ya muda mfupi
Kumbe we kichaa, magufuli ndio Rais aliyekopa fedha nyingi,Tena za riba kubwa na zakurejesha muda mfupi,Hiyo mikopo ya Magufuli aliyochukuwa imerekodiwa wapi? Wapi records? Mpaka Magufuli anafariki deni la Tanzania lilikuwa dogo karibia kuliko wakati wowote ule, sasa hiyo Mikopo gani unayoiongelea aliyochukuwa Maguguli?
Jamaa hebu kuwa mkweli na muungwana. Deni la taifa lilikuwa trilioni 32 mwaka 2015 na lilikuwa trilioni 58 wakati magufuli anafariki. Yaani alizidisha karibu mara mbili deni la serikali kwa miaka mitano.Hiyo mikopo ya Magufuli aliyochukuwa imerekodiwa wapi? Wapi records? Mpaka Magufuli anafariki deni la Tanzania lilikuwa dogo karibia kuliko wakati wowote ule, sasa hiyo Mikopo gani unayoiongelea aliyochukuwa Maguguli? Deni la Tanzania limeongezeka kwa kiasi kikubwa sana kuanzia raisi wa sasa alivyoingia!
Kumbe we kichaa, magufuli ndio Rais aliyekopa fedha nyingi,Tena za riba kubwa na zakurejesha muda mfupi,
Sasaivi serikali inapambana kulipa hiyo mikopo ya kibiashara yenye riba kubwa aliyokopa Ngosha,
Ndio sababu ya Tozo za kila namna
Jamaa hebu kuwa mkweli na muungwana. Deni la taifa lilikuwa trilioni 32 mwaka 2015 na lilikuwa trilioni 58 wakati magufuli anafariki. Yaani alizidisha karibu mara mbili deni la serikali kwa miaka mitano.
Moja ya sababu iliyonifanya nimchukie sana magufuli ni tabia yake ya kusema uongo. Amekopa sana afdb, world bank, imf na mbaya zaidi mpaka mikopo kwenye mabenki ya biashara lakini majukwaani anasema hela za ndani. Watanzania kwa ujinga wao wanamuamini. Hata michango ya pssf alikuwa hapeleki hivyo deni la ndani pia liliongezeka sana.
Hili watu hawalioni. Nilshawahi sema huko nyuma,atakayemrithi JPM atakuwa na wakati mgumuRais wa Sasa amekuta Nchi haina fedha, magufuli aliharibu uchumi wa Nchi kwa miradi mfululizo na mikopo ghali ya riba kubwa na ya muda mfupi
Angalia vizuri hizo namba, ni 32 mpaka 58. Yaani ongezeko la trilioni 26 kwa miaka mitano. Samia na hata magufuli mwenyewe walikopa lakini fedha zinaelekezwa kwenye maeneo ambayo sio ya uzalishaji na matokeo yake kulipa inakuwa tabu kwelikweli.Sina uhakika na data zako isitoshe hata kama ni kweli 58 siyo mara 2 ya 38 hiyo ni tofauti kubwa sana.
Sasa sema Samia kaongeza Deni kwa kiasi gani ndani ya mwaka 1?
Nimetuma 100,000 kwenda tigo pesa kwa simbanking, VAT sh. 974.70, govt levy sh. 1,009.00, TMS CHARGE TIGO 5,415.00, wenye akili timamu nimekatwa sh 7,398.7 kwa transaction hii moja tu. Pesa ilitoka kwa mshahara ambao wajuba walishakata PAYE. ni 7.4%. Mwaka 2017 kwa muamala kama huu nilikuwa naktwa sh. 2,360 maana yake sh. 5,038 imeongezwa kwa kipindi cha miaka mitano. Hali ya uchumi na inflation ni kubwa sasa kuliko ilivyokuwa 2017.
Jinsi mambo yanavyokuwa magumu tigo nimetoa sh 5,000 makato ni sh. 1,010 ambayo ni 20.2% hii ni zaidi ya 18% VAT. Tujuzane hapa mambo haya ya kukatana pesa tulizotolea jasho yataisha lini? Kwanini mnatukata kwa kiasi hiki kwa value ipi mnayotuongezea? Wale ambao mnalipwa kwa kushadadia na kujibu humu hata hili na nyie linawagusa pia, twendeni kwa namba kwanza.
Maisha sasa ni ghali mno na watunga sera lazima wawe flexible, kama mashirika ya kimataifa yanaona hali ngumu na kutoa nafuu kwa nini hawa viongozi wetu wanaweka pamba masikioni na kulazimisha kuendelea na mipango yao tu?! Maana hata midege tumelazimishwa kuyanunua bila kuona hali halisi na midude inaleta hasara. Reli toka waanze kujenga hawamalizi tu(Dar, Moro tu) politiks kila kukicha na wanatutwisha gharama bila sababu matokeo yake hata makampuni ya simu na yao yanatupiga pia.
Angalia vizuri hizo namba, ni 32 mpaka 58. Yaani ongezeko la trilioni 26 kwa miaka mitano. Samia na hata magufuli mwenyewe walikopa lakini fedha zinaelekezwa kwenye maeneo ambayo sio ya uzalishaji na matokeo yake kulipa inakuwa tabu kwelikweli.
Sijui hata Dini yake .Alafu usinichanganye kwenye ujinga wako wa imani,dini ninayoifahamu inaitwa maendeleo, hizo dini zingine zipeleke kwenu.Unamchukia sababu ya dini yake, ana akitoka Samia anaingia January au Ridhiwan Kikwete, wa imani yenu Ni makatili hawafai kupewa nchi
Huyo Samia mimi namuona yuko incompetent na ameshakopa karibu trilioni 10 mpaka sasa.Kwa nini hautaki kusema Samia amekopa shilingi ngapi ndani ya mwaka 1? Weka namba kama ulivyoweka kwa Magufuli pamoja na kwamba haujaweka kielelezo, isotoshe bado 58 siyo mara 2 ya 32, kuna tofauti!
PatheticRais wa Sasa amekuta Nchi haina fedha, magufuli aliharibu uchumi wa Nchi kwa miradi mfululizo na mikopo ghali ya riba kubwa na ya muda mfupi
Wewe ni mpumbavu hauko informed,unachanganya mahaba ya dini na taasisi ya urais.Kumbe we kichaa, magufuli ndio Rais aliyekopa fedha nyingi,Tena za riba kubwa na zakurejesha muda mfupi,
Sasaivi serikali inapambana kulipa hiyo mikopo ya kibiashara yenye riba kubwa aliyokopa Ngosha,
Ndio sababu ya Tozo za kila namna
Huyo Samia mimi namuona yuko incompetent na ameshakopa karibu trilioni 10 mpaka sasa.
Yote kwa yote magufuli ndio alianzisha huu ujinga wa kuharibu uzalishaji na uwekezaji na kujikita kwenye mikopo.
Huyo mama karithi tatizo ambalo hana uwezo wa kulitatua hasa ukiweka vita ya ukraine pamoja na athari za covid.