Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo pesa zipo kwenye miradi ile ile iliyoanzishwa tangu awamu ya tano katika kuiendeleza. Tunaposema Samia amekopa maana yake ni serikali katika mipango yake.Na hizo trilioni 10 unazozisema amefanyia nini? Kwa maana hakuna nilipoona amekopa kwa ajili ya mradi wowote ule, sasa hizo trilioni 10 ndani ya mwaka 1 ziko wapi? Unaweza kuniambia zimefanya xyz?
Hizo pesa zipo kwenye miradi ile ile iliyoanzishwa tangu awamu ya tano katika kuiendeleza. Tunaposema Samia amekopa maana yake ni serikali katika mipango yake.
Huyu alikuemo ndani na genge la minsters almost 80percent,wakati huo walikua wakila kuku kwa mrija, hivyo wote waliharibu kwa ujumla wao,na walichoharibu Wanaangushia mzigo kwa wananchi. These people are totally failed.Rais wa Sasa amekuta Nchi haina fedha, magufuli aliharibu uchumi wa Nchi kwa miradi mfululizo na mikopo ghali ya riba kubwa na ya muda mfupi
Nyie acheni ushabiki wa kijinga. Magufuli ndio chanzo cha mikopo ya kipumbavu inayoendelea nchini.Wewe ni mpumbavu hauko informed,unachanganya mahaba ya dini na taasisi ya urais.
Nitajie mradi wowote wa magufuli uliokamilika.. ukiacha aliyoikuta kama brt, flyover mbili etc.. mingine yote ni endelevu.. unadhani fedha za kuendeleza zinatoka wapi? Unafikiri zipo sehemu cash aliziacha magufuli?Pesa alizokopa Samia tumezisoma kwenye media zote za ndani na nje hakuna hata mahali ilipoonyesha au atleast nilipoona mimi pesa imeenda mradi xyz ulioanzishwa na Magufuli, amekopa kujenga madarasa, Airport Unguja, kujenga Ikulu Unguja na mambo mengine ya Unguja na kufadhili biashara za watu binafsi hakuna mahali niliona Samia amekopa kujenga SGR kama ipo unaweza nisahihisha, …
Nitajie mradi wowote wa magufuli uliokamilika.. ukiacha aliyoikuta kama brt, flyover mbili etc.. mingine yote ni endelevu.. unadhani fedha za kuendeleza zinatoka wapi? Unafikiri zipo sehemu cash aliziacha magufuli?
Ndio kama hizi hapa chini alihakikisha zimesainiwa lakini zimekuja kuingia kipindi cha Samia na inaonesha yeye ndio kakopa lakini ni muendelezo tu wa ukopaji wa magufuli.
View attachment 2338354
Sasa mbona tozo imekuja wakati miradi ilikuwa tayari umeanza. Au hiyo tozo ni mpya kwanini itumike kwa miradi ya zamani. Kwani kabla ya tozo hiyo miradi ilikuwa inalipwajeRais wa Sasa amekuta Nchi haina fedha, magufuli aliharibu uchumi wa Nchi kwa miradi mfululizo na mikopo ghali ya riba kubwa na ya muda mfupi
Tozo ni wizi wa dola kwetu sisi wananchi, tunalalamika sababu pesa zetu kwanini mtu mwengine ambaye aongezi thamani kwanini anakata. Serikali ilishakata hii pesa kwanini wanaipigia hesabu kuidokoa tena. Kuwa ghali kwa wizi ndio mana tunazuia wizi wa dola. ila nimekuwekea namba pesa pesa ile ile miaka minne nyuma nilikatwa 2360 sasa leo kimeongezeka nini wakate tena.Kwenye hiyo 7,000 tozo ni kama 2,000 tuu the rest 5,000 ni makato ya banks..
Kwa hiyo wewe Kati ya 5,000 na 2,000 ipi kubwa?
Mwisho kwani ulikuwa hujui kwamba kufanya transactions za banks to mitandao ya simu and vice versa huwa ni ghali?
Hata kuhamisha pesa Kati ya banks tofauti ni ghali siku zote sasa hapo tozo inalaumiwa kwa lipi?
Hizo ni huduma za kufanya kwa dharura na sio regular na ndio maana hata wao wameweka makato makubwa kwa sababu Wana discourage,kwa nini utoe pesa kwao uwapelekee mitandao?
So umepigwa kwa kujitakia.
Kumbe asali tamu hivyoKumbe we kichaa, magufuli ndio Rais aliyekopa fedha nyingi,Tena za riba kubwa na zakurejesha muda mfupi,
Sasaivi serikali inapambana kulipa hiyo mikopo ya kibiashara yenye riba kubwa aliyokopa Ngosha,
Ndio sababu ya Tozo za kila namna
Jibu hoja makato ya tozo na watoa huduma yapi makubwa?Tozo ni wizi wa dola kwetu sisi wananchi, tunalalamika sababu pesa zetu kwanini mtu mwengine ambaye aongezi thamani kwanini anakata. Serikali ilishakata hii pesa kwanini wanaipigia hesabu kuidokoa tena. Kuwa ghali kwa wizi ndio mana tunazuia wizi wa dola. ila nimekuwekea namba pesa pesa ile ile miaka minne nyuma nilikatwa 2360 sasa leo kimeongezeka nini wakate tena.
Pesa si peleki kwa mitandao napelekea watoto na mke aliyemkoani anunue chakula. Kama nimejitakiwa poa ndio tunachukua hatua sasa.
Chanzo cha takwimu zako ni kipiJamaa hebu kuwa mkweli na muungwana. Deni la taifa lilikuwa trilioni 32 mwaka 2015 na lilikuwa trilioni 58 wakati magufuli anafariki. Yaani alizidisha karibu mara mbili deni la serikali kwa miaka mitano.
Moja ya sababu iliyonifanya nimchukie sana magufuli ni tabia yake ya kusema uongo. Amekopa sana afdb, world bank, imf na mbaya zaidi mpaka mikopo kwenye mabenki ya biashara lakini majukwaani anasema hela za ndani. Watanzania kwa ujinga wao wanamuamini. Hata michango ya pssf alikuwa hapeleki hivyo deni la ndani pia liliongezeka sana.
Hii sio hoja yetu mahali hapa, hatutaki tozo na makato ya mtoa huduma yapunguzwe. Unaniuliza nguruwe kachinja nani? Sasa hata kama kachinja shekh Juma bado kwa waislamu ni haramu bhana.Jibu hoja makato ya tozo na watoa huduma yapi makubwa?
Asilimia 67 wanataka kama hutaki utalipa kwa lazima,wengi ndio huamua.Hii sio hoja yetu mahali hapa, hatutaki tozo na makato ya mtoa huduma yapunguzwe. Unaniuliza nguruwe kachinja nani? Sasa hata kama kachinja shekh Juma bado kwa waislamu ni haramu bhana.
Acha uongo, alisema mwenyewe alikuta nchi inaakiba ya kula miezi Sita bila kufanya kazi. Kiawango ambacho kilikuwa hakijafikiwa tangu kuumbwa kwa nchi hii.Rais wa Sasa amekuta Nchi haina fedha, magufuli aliharibu uchumi wa Nchi kwa miradi mfululizo na mikopo ghali ya riba kubwa na ya muda mfupi
Rais wa Sasa amekuta Nchi haina fedha, magufuli aliharibu uchumi wa Nchi kwa miradi mfululizo na mikopo ghali ya riba kubwa na ya muda mfupi
Asubuhi hii nimetuma 55000/= kwa mama kupitia simbanking, nimekatwa 5500/=...
Kwa lugha rahisi ni kwamba makato au gharama za kutuma hiyo pesa ni 10% ya nilichomtumia mama.
Nikiendelea kutumia hii simbanking basi CRDB mje mnivishe kibao cha "ZUZU" nimekaa palee Kariakoo Gerezani.
View attachment 2338227