rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Kama wanaona tozo ni nzuri wafute vat hii ndio shida ya kuongozwa na watu wenye elimu ya kuungaunga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo labda utafute ripoti ya cag utaona. Samia mimi namuona incompetent ingawa simhukumu sana.Una chanzo kinachoonyesha raisi Samia kakopa fedha kwa ajili daraja la Busisi, Barabara au Bwawa la Umeme? Hizo za IMF na World Bank najua, ila ningependa kujua chanzo kinachoonyesha mahali raisi Samia kakopa kwa ajili ya Bwawa la Umeme au barabara kubwa yoyote ile!
Na mashabiki wa mondi na konde vany nk wako bize mikoani kuwakusanya watuRejea utafiti wa TWAWEZWA eti Washabiki wa YANGA/SIMBA wamefurahia sana Tozo mbalimbali.
Miradi hii hii inayoenda spidi ya kobe ?Hizo pesa zipo kwenye miradi ile ile iliyoanzishwa tangu awamu ya tano katika kuiendeleza. Tunaposema Samia amekopa maana yake ni serikali katika mipango yake.
Hapo labda utafute ripoti ya cag utaona. Samia mimi namuona incompetent ingawa simhukumu sana.
Mkapa aliandika kwenye kitabu chake kwamba alipoapishwa mara ya kwanza kuwa raisi halafu akakabidhiwa hazina na hali ya kifedha alitamani bora asingegombea maana nchi ilikuwa empty.
Hiki kitu kuna siku Samia atakuja kukisema. Aliikuta nchi kwenye hali mbaya pamoja na kwamba alikuwa makamu.
Kiheshima Samia alitakiwa sasa hivi atuletee katiba mpya halafu 2025 asepe zake maana hatoshi kwa uraisi.
hata hiyo mara chache jitahidi upunguze. uende huko ikiwa ni dharura kubwakubwa....hata kama huwa unaonja kinywaji jitahidi kibajeti cha kinywaji uwe nacho shimoni. ili isikimbilie kwenye ATM ukakumbana na tozoNdio ninavyofanya pesa ya matumizi madogo madogo inakaa nyumbani.
Huko nakwenda mara chache.
Trickle down economics. Tuombe sana hao walamba asali waziingize hizo hela mtaani kwa kuwekeza hapa hapa nchini. Wakienda kuzificha Uswizi tumekwisha!Awamu hii imeamua kuua uchumi wa wananchi huku ikineemesha mifuko ya walamba asali. Huduma za jamii na ujenzi wa miundombinu ikidorora na mingine kupotezewa kabisa.
Mwenye ushahidi wa kituo cha afya kilichojengwa kwa tozo za miamala naomba jina kituo hicho maana muda sasa tangu tozo hizi zianze
Cha msingi hakuna mahali nimefanya uhalifu mkuu..Hapa boss hujajianika kweli?
Lakini, ni nini mchango wa madini katika uchumi wetu? Ni kiasi gani makampuni ya madini yanalipa? Nafikiri tuanzie hapa isije kuwa wananchi wanabeba mzigo mkubwa wakati rasilimari inakombwa na wageni.Nimetuma 100,000 kwenda tigo pesa kwa simbanking, VAT sh. 974.70, govt levy sh. 1,009.00, TMS CHARGE TIGO 5,415.00, wenye akili timamu nimekatwa sh 7,398.7 kwa transaction hii moja tu. Pesa ilitoka kwa mshahara ambao wajuba walishakata PAYE. ni 7.4%. Mwaka 2017 kwa muamala kama huu nilikuwa naktwa sh. 2,360 maana yake sh. 5,038 imeongezwa kwa kipindi cha miaka mitano. Hali ya uchumi na inflation ni kubwa sasa kuliko ilivyokuwa 2017.
Jinsi mambo yanavyokuwa magumu tigo nimetoa sh 5,000 makato ni sh. 1,010 ambayo ni 20.2% hii ni zaidi ya 18% VAT. Tujuzane hapa mambo haya ya kukatana pesa tulizotolea jasho yataisha lini? Kwanini mnatukata kwa kiasi hiki kwa value ipi mnayotuongezea? Wale ambao mnalipwa kwa kushadadia na kujibu humu hata hili na nyie linawagusa pia, twendeni kwa namba kwanza.
Maisha sasa ni ghali mno na watunga sera lazima wawe flexible, kama mashirika ya kimataifa yanaona hali ngumu na kutoa nafuu kwa nini hawa viongozi wetu wanaweka pamba masikioni na kulazimisha kuendelea na mipango yao tu?! Maana hata midege tumelazimishwa kuyanunua bila kuona hali halisi na midude inaleta hasara. Reli toka waanze kujenga hawamalizi tu(Dar, Moro tu) politiks kila kukicha na wanatutwisha gharama bila sababu matokeo yake hata makampuni ya simu na yao yanatupiga pia.
Mwigulu ndio hivyo katangaza kifo cha Mabenk. MaAsubuhi hii nimetuma 55000/= kwa mama kupitia simbanking, nimekatwa 5500/=...
Kwa lugha rahisi ni kwamba makato au gharama za kutuma hiyo pesa ni 10% ya nilichomtumia mama.
Nikiendelea kutumia hii simbanking basi CRDB mje mnivishe kibao cha "ZUZU" nimekaa palee Kariakoo Gerezani.
View attachment 2338471
Hiki ndio kifo cha mabenki kimewadia, na ajira nyingi zitapotea.Asubuhi hii nimetuma 55000/= kwa mama kupitia simbanking, nimekatwa 5500/=...
Kwa lugha rahisi ni kwamba makato au gharama za kutuma hiyo pesa ni 10% ya nilichomtumia mama.
Nikiendelea kutumia hii simbanking basi CRDB mje mnivishe kibao cha "ZUZU" nimekaa palee Kariakoo Gerezani.
View attachment 2338471
Sasa nani ataweka hela bank au kuchukua mkopo?Mwigulu aisee!
mungu wenu alikuwa ashauriki, Ni one man show😂😂😂
Huyu sasa alikuwa wapi pindi hayo yote yakifanyika? Au ni muter au blind
Huna ujualoHizo fedha zimesainiwa kipindi cha magufuli na zinaendelea kuingia kwa awamu mpaka sasa kadri ujenzi unavyoendelea. Zinaingia kama mkopo kwa Samia na zinatekeleza mradi uleule.
Hapa jaribu kujifunza project financing utaelewa ninachoandika.
mungu wenu alishasemaga kuwa ashauriki, na ukimshauri umeharibu kabisa, kuna wakati PM alisema ashapata wanunuzi wakorosho, yeye akamjibu hataki kusikia habari hizo,ashamuamuru CDF maroli yaende kusini kusomba korosho,Rais wa sasa alikuwa makamu wa rais na makamu wa rais wa sasa alikuwa waziri wa fedha, Gavana yupo Yule Yule
Natoa Tu Taarifa
Alaa!!, Sialikuwa anasema anajenga kwa fedha za ndani sio za mkopo?? Na nyinyi mazuzu mkawa mnademka mkitikisa vikalio vyenu kwa pambio na kumsifu
Kunywa maji Kwanza. Usipanic bibieWewe ni mpumbavu hauko informed,unachanganya mahaba ya dini na taasisi ya urais.
Haueleweki unaongea nini..Alaa!!, Sialikuwa anasema anajenga kwa fedha za ndani sio za mkopo?? Na nyinyi mazuzu mkawa mnademka mkitikisa vikalio vyenu kwa pambio na kumsifu
Ngosha hakutaka kushauriwa kwa lolote, kwa lawama zinamfaa peke yake,Huyu alikuemo ndani na genge la minsters almost 80percent,wakati huo walikua wakila kuku kwa mrija, hivyo wote waliharibu kwa ujumla wao,na walichoharibu Wanaangushia mzigo kwa wananchi. These people are totally failed.