Kwani mpaka uambiwe au kusoma sehemu ? mleta uzi kasema anatafuta njia kuacha kutumia benki, mawakala transactions zilipungua sana kwenye mobile money..., fraud za watu kutumia lipa kwa mpesa kwa kutoa pesa badala ya kununua bidhaa zimezidi..., hayo hayahitaji kuambiwa na hio inaonyesha Government walichemka ndio maana wamejitahidi kushusha mara mbili kile walichoongeza ingawa bado kipo juu na impact yako ni long term.... (imepunguza sana financial inclusive ambayo kama nchi tulikuwa tumepiga hatua kubwa)