Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Makali gani ya Covid wakati hata ugonjwa haukuwa tishio sana nchini. Zaidi ya kuwafyeka Elites na wazee kadhaa wa kadhaa.Samia amekopa fedha nyingi za imf na wb kwa ajili ya kupambana na makali ya covid, ujenzi wa madarasa na kiasi vita ya ukraine. Pia ameendelea kutumia baadhi ya hizi fedha kulipa madeni ya ndani kama wazabuni na pssf.
Mikopo mingine ni kwenye muendelezo wa phases za ujenzi wa reli (maana phase nyingine walikuwa bado wanatafuta fedha), kigongo busisi, barabara, bwawa la umeme etc
Maumivu ya Covid wala hayakuhitaji loans sababu hata lockdown hatukuwa nayo. Kwa aibu kubwa hizo hela zimesingiziwa ni za Covid ila zilivyotua wameelekezea kwenye madarasa na zahanati. Ila ukiskia ya tozo zinafanya kazi hio hio.