Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Sawa hope wakiona tunaandamana watatengua matokeo na Kunitangaza mimi haraka
Nimeambiwa umeniita. Nimekuitika labeka.asante Kaizer.
Ukinionea babu ODM na felo tablet
waambie nawasubiri hapa tuje tuchafue asiyetukana.
Wewe mbona hata usipotukana hupo....
hapa hakuna mtanange maana mimi tayari nishapigiwa kura na jamii nzima....
Hahahahaaa Mr Rocky kule ruksa ndo maana ni mafichoni....kule hakuna kutukana ila mnaongea kijukwaa jukwaa tatizo ni huku jumuiani ambako hapafai kutukana hata kidogo....
Sasa huku ndo napatia ushindi....
Nipe kura yako basi...
Sijawahi...ila nahisi tu inauma kwa namna wanavyolalamika waliodungwaImeshawah kukupata? Ya muda gani? Inaumaje?
Usiwasikilize hao ni wapinzani wangu....mimi ni clean sana....Naogopa sana kukupa kura maana watu wanadai eti umewahonga mawalaka wa timu pinzani ila kama uko clean nakupa kura yangu
Naona umeanza kunivunjia heshima kijana.....Bora apewe Mke wangu Amyner. Si wewe chapombe
Nimeambiwa umeniita. Nimekuitika labeka.
Nimechacha sana na kugonganisha vichakani tushakuwa wakubwa. Hebu mwambie supamani atupe ile fifte yetu twenzetu gesh haush.he babu ODM, mie nimekutafuta sana jana.
Hebu njoo tugonganishe vizalishio vyetu.
he babu ODM, mie nimekutafuta sana jana.
Hebu njoo tugonganishe vizalishio vyetu.
Hahahaaa huku ndo kwenyewe siunajua mambo ya hericopta kurudi reverse ni kwa nadra sana?
Hapa ni full ushindi hata wabane lazma kieleweke....
Kampeni manager wangu Sweetlady keshatoka kanisani tayari kwa kazi...
Upande wa sala yuko Angel Msofe a.k.a mama mchungaji....yaan full maombi....
toooooobaaaaaaaa natafuta angle niwapige
chabo...
Sijawahi...ila nahisi tu inauma kwa namna wanavyolalamika waliodungwa
Hiyo haikubaliki kabsaaa labda utumie Teknick ya matusi kama Lusinde....Nakubali kushindwa kwa shingo upande, au nitumie
teknik ya mapanga nini.....? Nasikia siku hizi inafaa kuondoa upinzani wowote unaokukabili kwenye chaguzi......
Naona umeanza kunivunjia heshima kijana.....
Dogo unataka kuniharibia tuzo yangu eeee?aisifiaye mvua imemnyea.
Hiyo haikubaliki kabsaaa labda utumie Teknick ya matusi kama Lusinde....
Hahahaaa Dodoma hoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Dogo unataka kuniharibia tuzo yangu eeee?
Lione
Hahahaaaa i hate sisiemu than anything in this world...we si ndo pacha wa Lucy-nde?