Tuzo Ndg. Yeriko Nyerere itupe funzo kuthamini 'big brains' wa ndani ya nchi

Tatizo la viongozi wetu wengi sio kukosa ujuzi bali ni kupungukiwa uzalendo kwa nchi. Wengi wanayaweka maslahi yao mbele.

Hiyo idara inayoitwa ya ujasusi ndio inaongoza kwa wafanyakazi wake kuteuliwa kwenye nasafi za uongozi wa juu, lakini hata wao wamepubgukiwa uzalendo.

Hongera Yeriko, lakini nina uhakika hata hao wazee wakisoma kitabu chako yataingilia huku na kutokea kule. Uongozi tanzania ni fursa ya kula.
 
Hongera zake.

Tuzo gani kashinda?

Nilipata kusoma hicho kitabu sikuona jambo lolote lenye tija. Niishie hapa nisije itwa hater.
Ukiona umesoma kitabu na usikielewe,

Jua fika, kitabu hicho hukuandikiwa wewe!!!

Zipo Nchi zitachukua madini yaliyomo katika kitabu hicho na kupiga hatua.

Naamini Nchi yangu imeshakisoma kupitia watu wake ktk kitengo husika.
 
Kama wamekisoma nchi imepiga hatua gani toka Kitabu kilipotoka miaka kadhaa iliyopita?
 
KM ndugu Chongolo ni hazina, alionyesha Uzalendo Kwa kuchukua upande wa kipekee katika Issue ya DP world.

Tukipata Katiba mpya, wapo wengi ndani ya mfumo uliopo, waliominywa, wazalendo watakaotoka na kuisaidia Nchi.
 
Kama wamekisoma nchi imepiga hatua gani toka Kitabu kilipotoka miaka kadhaa iliyopita?
Utayaona matokeo Kwa Ajaye na Ilani zijazo Kwa 2025-2030.
 
Yeriko nyerere sio mzanaki,na hana uhusiano wowote na familia ya mwalimu julius kambarage nyerere,yeriko ni mla mbwa kutoka irina.
 
Tafuta, ZIKOMO AFRICA AWARDS, Taasisi hiyo inapatikana Zambia.
Impersonate cases, how? He came use #Nyerere name!, alipipie jina, Pana kesi hapo!, probably wazambia watakuwa wametunuku Tuzo kwa heshima ya jina, #Nyerere, kwani jina hilo linaheshimika sana huko kusini.
 
Yeriko nyerere si chochote na si lolote,ni bonge la tapeli tu.kitabu alichoandika kimejaa vilaka kutoka kwenye maandiko ya watu mbali mbali.
 
Impersonate cases, how? He came use #Nyerere name!, alipipie jina, Pana kesi hapo!, probably wazambia watakuwa wametunuku Tuzo kwa heshima ya jina, #Nyerere, kwani jina hilo linaheshimika sana huko kusini.
Si vyema mtoto kuwa na Chuki Kwa waliokuzidi.

Sijui macho Yako, lakini Mimi nilipomsikia Yeriko Nyerere Kwa mara ya kwanza akiongea, nilijua ana kitu kikubwa sana amebeba.

Habari ya Jina isikitishe, Tazama kilicho ndani yake.
 
Ni national level achana na hao wachuuzi wako unaohisi wametoboa, ungekisoma au ungejua hata kidogo kinahusu nini usingeandika huu unyonge
 
Mpongeze kwanza Mtanzania mwenzetu.
Binafsi namkubali sana sana huyu jamaa. Ingawa sijawahi kununua kitabu chake lkn nimebahatika kukisoma kitabu cha ujasusi wa kidola (kwa kuazima kwa rafiki yangu).

Ni kitabu kizuri kilichoandikwa kwa Ustadi mkubwa sana. Hongera kwake.

N.B. Ingawa ananikwaza kwa kuamini ushirikina
 
Si vyema mtoto kuwa na Chuki Kwa waliokuzidi.

Sijui macho Yako, lakini Mimi nilipomsikia Yeriko Nyerere Kwa mara ya kwanza akiongea, nilijua ana kitu kikubwa sana amebeba.

Habari ya Jina isikitishe, Tazama kilicho ndani yake.
Ok, basi kila mtu ni Nyerere! 😁😁😁 Naitwa crocodie_nyerere!
 
Ni national level achana na hao wachuuzi wako unaohisi wametoboa, ungekisoma au ungejua hata kidogo kinahusu nini usingeandika huu unyonge
Kusoma sana vitabu ni mental masterbation bora nipate kitu real Kwa wachuuzi wa Dar es salaam stock exchange market.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…