Tuzo Ndg. Yeriko Nyerere itupe funzo kuthamini 'big brains' wa ndani ya nchi

Nimekisoma kitabu na verify 95% ni C & P. toka vitabu mbali mbali, hakipo kilichoonwa na kudadavuliwa kwa ubongo wake!.
WIVU tu unakusumbua,

Weka hizo pages alizocopy kuthibitisha usemacho.
 
Ninahisi hufahamu chochote kuhusu publications.

Yericko ameandika Kitabu na ameweka references(rejea) alizozitumia
 
WIVU tu unakusumbua,

Weka hizo pages alizocopy kuthibitisha usemacho.
Isome post no #43 itakidhi haja zako zote, #Baboon je unafahamu hapa jukwaani kuna wasomi wa kina, maprofesor tunaposema jambo huwa tunamaanisha jambo!
 
Hongera Kijana Yeriko Nyerere, kelele zisikurudishe nyuma. Andaa toleo la pili la UJASUSI WA KIELIMU, UJUZI NA TEKINOLOJIA. UTHUBUTU NI VITENDO SIO MANENO
 
Isome post no #43 itakidhi haja zako zote, #Baboon je unafahamu hapa jukwaani kuna wasomi wa kina, maprofesor tunaposema jambo huwa tunamaanisha jambo!
Msomi Gani unayeamini kuwa hapa chini ya jua unaweza andika kitabu kizima bila kuquote maandishi ya wengine katika mada husika?

Pagge no 43, ameonyesha Reference ya watu waliowahi kuandika kama Yeye ktk baadhi ya issues alizoandika.

Ni vyema tukatanguliza TANZANIA 🇹🇿 mbele kuliko vyama vyeti.

Uzalendo kwanza🙏
 
Umewahi kuandika kitabu au jarida lolote tufanye rejea kujua u mtu wa aina Gani?
Wewe mpuuzi sasa wote tukiwa waandishi wa vitabu mambo yataenda? Wengine tubaki kuwa wateja wa vitabu
 
Kuna REJEA na kuna copy & paste. Alichofanya yeye ni copy & paste au Plagiarism
Plagiarism ni kitendo cha kutumia kazi ya mtu na kufanya kama ni ya kwako. Kutoa reference ni kinyume cha plagiarism. Yericko amerejea na amesema amerejea kwa nani.

Nimeshakumbia hujui kuhusu machapisho. Acha ubishi!


Plagiarism means using someone else’s work without giving them proper credit. In academic writing, plagiarizing involves using words, ideas, or information from a source without citing it correctly. In practice, this can mean a few different things.

Examples of plagiarismWhy is it wrong?

Copying parts of a text word for word, without quotation marksIt makes it seem like these are your own words.

Paraphrasing a text by changing a few words or altering the sentence structure, without citing the sourceIt makes it seem like you came up with the idea, when in fact you just rephrased someone else’s idea.
Giving incorrect information about a sourceIf readers can’t find the cited source, they can’t check the information themselves.

Quoting so much from a source that it makes up the majority of your textEven with proper citations, you’re not making an original contribution if you rely so much on someone else’s words.

Reusing work you’ve submitted for a previous assignment, without citing yourselfEven though it’s your own work, the reader should be informed that it’s not completely new but comes from previous research.

Submitting a text written entirely by someone else (e.g., a paper you bought from a ghostwriter)Not doing the work yourself is academically dishonest, undermines your learning, and is unfair to other students.
 
Hawa wanaojiita CHAWA, uelewa wao wengi ni mdogo sana.
 
The Road to Power
 
Asante sana Msomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…