Sio kila mtu atampenda huyo bibi yako, kama ambavyo wewe unamchukia yule ibilisi ndovyo jinsi ambayo wengine wanamchukia huyo changu.Mama ndio kawapa nafasi ya kupumuwa sasa hivi kinakukera nini?
Lile hibirisi la Chato ndio ulikuwa unalipenda?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anapenda kiki [emoji1]
Weuweeeeeh [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]Mtunzi bora[emoji7]
Kapata.Yeah
Ali kiba album bora ya mwaka
Marioo usiku wa leo akitoka bila Tuzo itakuwa sio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mfyuuuuuuu eti harmo[emoji846],linyimbo libaya mikelele tu
Kiba[emoji173]Weuweeeeeh [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jokate alivyomdere Blue kwa dharau utasema hawakuwahi kuwa wapenzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji7][emoji7][emoji7]Kiba[emoji173]
wasanii wengi wana uchumi mdogo sana hii imewafanya kuishi maisha ya kinafiki na kujipendekeza, kwa akili ya kawaida tu kuna vitu vingi tu walitakiwa kuvikataa/gomea kuhusu hizo tuzo.
Nawapongeza wasanii waliozigoea hizi tuzo, waliozikataa na wale waliojaribu walau kutoa constructive criticisms waziwazi, ujue kuna muda mtu unafigt battle lako gumu halafu mtu mwingine anataka kukuhusisha kwenye ujinga ujinga wake.
Asante rafiki, kuna muda unajisomea vitu unaona upite kimya kimya.Mara chache Sana naona unatoaga comment lakini ukihakutoa zinakuwa heavy kweli kweli hongera kwenye Hili tunatamani tuone ukitoa comment nyingi
Ni Hisense mkuuNi tv gani hii?
Uwepo wa Diamond na Rayvanny bila hata ya kuwa na ngoma ungeongeza kitu kikubwa sana, Zuchu angebadilisha sana matokeo ya awards na Diamond pia.Nadhani issue kupoa ni mpangilio mzima wa event haswa peformance, celebrities walikuwa wachache hasa powerful names kama wema ambao wangewatumia kugawa Tuzo ingekuwa na vibe zaidi
Kuhusu WCB sidhani kama wangeleta kitu kikubwa sanaaaaaa, nakumbuka last year kulikuwa na miss East Africa na wenyewe ndio walikaa mbele na major peformer alikuwa mbosso lakini issue mzima ilibuma.
Kikubwa nadhani labda wangeongeza msisimko Tu hasa kama Zuchu angeingia maana this year kafanya vizuri sana, labda na Diamond na Mbosso. The rest sidhani kama wangeleta impact kubwa sana kuzidi uwepo wa Ali kiba, Marioo, Konde na Mbosso
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Aisee tupo wengiHivi mbona hakukua na promo sana za hii event, yaani kama isingekua kifurushi changu kuisha nikalazimika kucheki local channels ndiyo nakutana na huu usiku wa tuzo, otherwise ningekua namcheki Judge Judy hata nisingejua[emoji848]
Sorry nilikuwa namaanisha ni channel gani?Ni Hisense mkuu
Kwahiyo mabeyo na sasha watalipwa?Tuzo ni heshima, ukiangalia hata profile ya msanii ili ujue alikuwa mkubwa kiasi gani wanaangalia mauzo ya album na Tuzo. Pia Kuna pesa huwa inatolewa kwa kila category