Tuzogoe: Uliza swali la kizushi, tukujibu!

Hapo mwisho ndio umeharibu mzee mwenzanguπŸ˜…πŸ˜…
 
Aaaah kulia labda ikitokea, nakabwa tu na koo. Naamini kitu kikiwa kizito naongea na mtu yanaisha.
 
Aaanhaaa 😍 romantic men wana pepo yao ya peke yao kwa kweli.
 
Hahaha,
Mie napenda la wastani bhana, kubwa sana siwezi..
πŸ˜‚ kubwa sana hawezi ✍️✍️
Ila ukweli ni kuwa umuhimu wa kalio ni kama vile chachandu/pilipili/chumvi.. kwenye nyama choma..
Sasa wasio na makalio wataliwa na nani kama wote mnataka makalio makubwa na ya wastani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…