Tuzogoe: Uliza swali la kizushi, tukujibu!

Tuzogoe: Uliza swali la kizushi, tukujibu!

Basi mumeo alikua na uvumilivu na ni muelewa sana!
Nlikuwa nikipiga makeleleee ananiachia fasta. Siku zikaenda mpk tahamaki miezi miwili hiiooo
Halafu vichekesho nyengine sasa...kulikuwa na vile vibibi vya kukaa mlangoni wanasubiri good news...walisubiri mpk wakajiondokea zao. Walikuwa wakali hao mpk wanamkaripia kwa nn nnamshindwa, ananiendekeza. Sijui Walikuwa wanataka anibake. Yaani ilikuwa vichekesho wallah sijui kwa nn Nlikuwa naogopa sana 🤣
 
Back
Top Bottom