Tuzogoe: Uliza swali la kizushi, tukujibu!

Tuzogoe: Uliza swali la kizushi, tukujibu!

Hivi kwanini vazi la chupi linapoteza umaarufu kwa wanawake hasa wa Dar es Salaam, Je? Kudindisha pale ninapoona chupi ya mwanamke ni ugonjwa?
 
Una swali la kizushi kwangu au kwa member yoyote wa JF? njoo uliulize hapa!

Mimi naanza na hawa;

Kaka Mshana Jr - umeshawahi kushuhudia live mambo ya nguvu za giza / kichawi na ilikuaje?

cocastic Angel Nylon Amehlo Mallerina , To yeye - Kitu gani kidogo mtu anaweza kufanya kikakufanya ujisikie unapendwa sana?

Mbaga Jr - umeshawahi kukaa muda gani bila mizagamuano wala kukwea mnazi?

min -me - kiasi gani cha fedha ukipewa unaacha pombe?

dosho12 - lini umelia mara ya mwisho na nini kilikuliza?

onestopcenter - kwanini bado una uvulana wako (bikra) mpaka sasa?

Lamomy - tukio gani ushawahi kumpiga mtu akabaki na butwaa haamini?

Harmful , makaveli10 lini ni mara ya mwisho umemwaga zigo na ulifanya nini kuhakikisha mwenzako naye kamwaga?
Ila bibi angu we MKOROFI hahahaeti bado una uvulana wako kwa kijana wangu onestopcenter 😂😂😂
 
Back
Top Bottom