Tuzogoe: Uliza swali la kizushi, tukujibu!

Nlikuwa nikipiga makeleleee ananiachia fasta. Siku zikaenda mpk tahamaki miezi miwili hiiooo
Halafu vichekesho nyengine sasa...kulikuwa na vile vibibi vya kukaa mlangoni wanasubiri good news...walisubiri mpk wakajiondokea zao. Walikuwa wakali hao mpk wanamkaripia kwa nn nnamshindwa, ananiendekeza. Sijui Walikuwa wanataka anibake. Yaani ilikuwa vichekesho wallah sijui kwa nn Nlikuwa naogopa sana 🤣
Ila mlikua hamlali kitanda kimoja? ulikua unalala na nguo zote au ilikua inakuwaje?
Na siku uliyoamua kumpa, alifanya nini mpaka akakulegeza?
Vipi yale maumivu? au alikua gentle sana? baada ya muda gani ulianza kufurahia tendo?

Maswali ni mengi, ila acha niishie hapo kwanza 😅
 
Binti wa zamani nguvu za kuni kataa unatoa wapi asee🤣🤣
giphy.gif
 
Ila mlikua hamlali kitanda kimoja? ulikua unalala na nguo zote au ilikua inakuwaje?
Na siku uliyoamua kumpa, alifanya nini mpaka akakulegeza?
Vipi yale maumivu? au alikua gentle sana? baada ya muda gani ulianza kufurahia tendo?

Maswali ni mengi, ila acha niishie hapo kwanza 😅
Alinitishia kunirudisha kwetu...nikaona huu msala sasa ndoa ina miezi miwili kasoro halafu watu waskie nimeachwa si aibu hio. Ikabidi kujikaza na kuumq meno 😂. Na yeye tena alikuwa keshachoka kunionesha huruma uanaume ulikuwa ushamuingia.
Nilishangaa kumbe issue ilikuwa simple ni kujikaza tu.
Baadae sn huko wakati nishapata mtt ndio hali ikawa shwariiii. Mambo ya humu tuuu😋
 
Na baadaye ukaanza kuiulizia WE MENYEWEEEEEE...!!

Ukapiga mahesabu mwenyeweee, ukaona kuliko urudishwe home, ambako hutaweza kutoa maelezo kwa familia kuhusu sababu ya kurudishwa, BORA UTOE MBUSUSU..!!
 
Back
Top Bottom