Tuzogoe: Uliza swali la kizushi, tukujibu!

Ila mlikua hamlali kitanda kimoja? ulikua unalala na nguo zote au ilikua inakuwaje?
Na siku uliyoamua kumpa, alifanya nini mpaka akakulegeza?
Vipi yale maumivu? au alikua gentle sana? baada ya muda gani ulianza kufurahia tendo?

Maswali ni mengi, ila acha niishie hapo kwanza πŸ˜…
 
Alinitishia kunirudisha kwetu...nikaona huu msala sasa ndoa ina miezi miwili kasoro halafu watu waskie nimeachwa si aibu hio. Ikabidi kujikaza na kuumq meno πŸ˜‚. Na yeye tena alikuwa keshachoka kunionesha huruma uanaume ulikuwa ushamuingia.
Nilishangaa kumbe issue ilikuwa simple ni kujikaza tu.
Baadae sn huko wakati nishapata mtt ndio hali ikawa shwariiii. Mambo ya humu tuuuπŸ˜‹
 
Na baadaye ukaanza kuiulizia WE MENYEWEEEEEE...!!

Ukapiga mahesabu mwenyeweee, ukaona kuliko urudishwe home, ambako hutaweza kutoa maelezo kwa familia kuhusu sababu ya kurudishwa, BORA UTOE MBUSUSU..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…