Tuzogoe: Uliza swali la kizushi, tukujibu!

Mimi siyo mlokole lakini nina hofu ya Mungu na huwa najitahidi kujiepusha na yasiyompendeza Mungu.

Kumtengeneza namaanisha kumfanya vile mimi nataka awe kimuonekano na hata baadhi ya tabia.
Hapo nimekuelewa 😍

Ngoja tukutafutie huyo husband material apatikane buana.
Inabidi awe umri gani?
 
Kuna issue ipo kichwani kwangu hivyo nahitaji unijibu Mkuu.

Umesema tuulize sio kuulizwa so Implement your promise please.
Nitakujibu, ila issue gani iko kichwani kwako? hebu tuanzie hapo!
 
😁😁 Mkuu haya majibu yako inaonekana ni zee fulani hivi linye experience na maisha ahahaaaa mfano wako ume kaa kijanja sana na umeeleweka.

Ahahahahaaa good EXAMPLE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…