Tuzogoe: Uliza swali la kizushi, tukujibu!

Hakika mkuu alafu huwa kuna uhusiano gani kati ya hisia, mawazo na machozi, kwa nini ukilia au kuongea na mtu unahisi kama kuna kitu kimepungua kwenye moyo wako
Kwa kweli sijawahi kijua kwa nini.
Ona hata kwenye msiba wakina mama lia wakati ule wana wahi kusahau mapema kuliko wanaume , huwa inachukua muda sana kusahau.
Hata wakina mama wakisikia mume ametoka nje Wanalia na kusahau, sasa sisi tukisikia hivyo tuna kaza ila ndani tuna lika mno!
 
AM or PM Right?
 
Tunaka na mizigo kichwani na moyoni kwa muda mrefu bila kuijadili wala kulia na ndio maana tunakufa mapema 😁
 
Kitu nisicho weza kulia mbele ya mtu, na asili mia kubwa wanaume hawezi kulia mbele ya mtu hata awe wa karibu kiasi gani!
Ukiona mwanaume analia mbele yako kama si amezidiwa kupita kiasi basi amekuamini na kukuthamini mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…