Tuzogoe: Uliza swali la kizushi, tukujibu!

Kwamba mimi ndio mzee wa kufirimba ulembe sana ama?

Nina muda mrefu saana SIJAFIRIMBA ULEMBE, hapa, kichupa kipo full, huu unaendea mwezi wa 7 hivi.

Kuhusu kukojozana, ukishachukulia kuto mbana ni sanaa tu, basi hilo sio tatizo, kilichobaki ni kuamua tu akojoe ngapi, 6,7,9,10+ etc
Sikumbuki kama nimewahi kukwichi kwichi na mwenzangu na asikojoe walau vi3, hata kama kitakuwa ni kitombo cha wapi.
 
Hahaa !
Maisha yametupa matokeo yalio kinyume na matajio kwa kiasi kikubwa mno ndugu yangu.
Pole sana mkuu,
Nina rafiki wa karibu sana, kwa sasa naweza kusema nina rafiki. Jamaa mwanzo ilikuwa akikerwa au akiwa na changamoto hata saa6 usiku atanipigia, atanieleza kila kitu. Nikawa simuelewi, yaani angeweza kunimwagia upupu wote, iwe ni mkewe, kazini kwake, madili yake, kukosa pesa nk.

Siku moja akaniambia Eroni unajua kwa nini nakuambia mambo yangu, nikamsikililiza..akasema mwanzo alikuwa analia😅😅😅😅 ila baadae alipoanza kuniambia majanga yake yote akaacha kulia, siku ile nilicheka sana😅😅😅.

So, badala ya kulia tafuta mtu unayehisi anaweza kukusikiliza bila kutoa judgements.

Unaliaje kidume😅😅
 
Hatari sana
 
Kitu nisicho weza kulia mbele ya mtu, na asili mia kubwa wanaume hawezi kulia mbele ya mtu hata awe wa karibu kiasi gani!
Pole sana
Ukiona mwanaume analia mbele yako kama si amezidiwa kupita kiasi basi amekuamini na kukuthamini mno.
Nafikiri kwake ilikua mchanganyiko wa vyote kwa pamoja.
 
Namimi Nasubiri tag
 
Kwamba mimi ndio mzee wa kufirimba ulembe sana ama?
Nina muda mrefu saana SIJAFIRIMBA ULEMBE, hapa, kichupa kipo full, huu unaendea mwezi wa 7 hivi.
Kulikoni muda mrefu hivi mZebaki?
Kuhusu kukojozana, ukishachukulia kuto mbana ni sanaa tu, basi hilo sio tatizo, kilichobaki ni kuamua tu akojoe ngapi, 6,7,9,10+ etc
Sikumbuki kama nimewahi kukwichi kwichi na mwenzangu na asikojoe walau vi3, hata kama kitakuwa ni kitombo cha wapi.
Safi, na wengine walibebe hilo, kulombana ni sanaa, wajue tu nini cha kufanya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…