Tuzuieje shule za wasichana watoto kusagana?

Wanangu watasoma shule za mchanganyiko Mungu akinipa uzima, hapa shida kubwa ni kwa wazazi kuwa limbukeni kwenye elimu, tunaamini katika ufaulu tu mambo mengine ambayo ndio ya msingi tunayaacha, sasa kuna maana gani una mtoto ana PHD lakini ni shoga au msagaji, hiyo PHD yake itakusaidia nini? utaifurahia kwa namna gani? haya mambo yanaumiza, utayaona ya kawaida kama hayajakufika lakini, likikufika jasho litakutoka, utambulishaje kijana wako mbele ya rafiki zako ooh! this is my first born halafu wanajua huyo first born wako ni shoga, inauma sana. Heri asifaulu akakuletea mtoto utakasirika kwa kipindi cha mwanzo lakini siku zikisonga utamfurahia mjukuu
 


Ni kweli tena inasikitisha sana.
Halafu kwa jinsi inavyo perform kwa matokeo mazuri kwa watoto unaweza usielewe.
Lakini sasa mtoto hata akipata division one akiwa ni Msagajj itasaidia nini?
Mwisho asijekuwa kama yule Mirembe alokuwa afisa ugavi wa GGM 😭
Hasara kwa mzazi na Taifa.
Mwanao akishakuwa possessed na hiyo spirit mzazi umekwisha 👌👌
Yani ni kama robo ya uchawi,
Kuacha huwa sio rahisi.

Hiyo Shule nasikia kuna wakati waliwatimua kundi la watoto wasagaji kule kwenye Shule walizie da wakaenda kuendeleza michezo yao michafu ya kuharibu watoto wa watu na vizazi vyao, wakastukiwa wakatimuliwa hivi watakuwa Shule ambazo hazifuatilii huko wameenda kuenenda uharibifu wa maisha na vizazi vya watoto wa watu 🙆‍♂️🤦‍♀️😭

Hiyo Shule labda Waite Jopo la watumishi wa kiroho wafunge kavu na kuomba yamkini kwa Rehema za Mungu hiyo roho ya uharibifu itaondoka kwenye hiyo Shule .
 
Imagine kuna wazazi wanahamisha mabinti zao hiyo ya Bagamoyo binti anakataa Ana mto Lea mama yake kisu amuue 😭
Sababu Kwanini mama yake anajifanya kimbelembele kukmkomalia ili ahame hiyo Shule kwenda Shule nyingine?
Mtoto alivyopelekwa kwa Psychogist akafunguka akasema mama akitaka nikubali kuhama akawaambie Shule anakotaka Bagamoyo ahame na girl friend wake ambae ni binti mwenzie😭🙆‍♂️🤦‍♀️
 
Mambo mengi ya ajabu ajabu yanaweza kufanyika kwenye mabweni ambapo wanafunzi wenye malezi tofauti tofauti wanakutana hata hivyo ni kwa kiasi kidogo sana. Nafikiri huu utandawazi umekuwa unakuza sana baadhi ya mambo.
Sipingani kwamba hayatokei ila sio kwa kiasi kikubwa kama watu wanavyotishana; Shule za bweni za Wavulana na za wasichana bado naona ni salama sana kwa malezi ya watoto kuliko mtaani.
Mimi nimekaa bweni kwa miaka mingi tena kwenye shule kubwa yenye wanafunzi zaidi 1000 wote wa bweni, hivyo naandika ninachokifaham....
 
Ni hatari sana halafu si salama
 
Sasa nyie si huwa mnatukataza tusiwafundishe mapenzi na kudinyana mapema wakaujua utamu wa dudu, ngoja wahamie kwingine sasa na bado!
 
Unazani ataweza kuwa na haiba ya kike na kumfurahia Mwanaume na Mwanaume kumfurahia?
Unazani anaweza kują kuzaa na kuwa na vizazi endelevu?
Unazani kwenye kinyume na asili utafanikiwa ?
Utaweza kumwamini na kumuacha na watoto nyumbani wakabaki salama bila kuambukiza hiyo roho?
Rerejea kuangamia kwa Mirembe wa GGm na yule alokuwa mkewe kwenda kuishia jera ,
Familia zote mbili zimę kula hasara.
Jamii haiwezi kukubaliana na Msagaji au Shoga
 
Mbuyu secondary
 
Mkuu sio masihara ninavyochati na wewe nasubiri mmoja wao wanamalizia sijui wanaita prepo nikutane nae mda huu

Wee chezea tu na kuharibu watoto wa Watu kisha subiri wako watakavyokuja kufanyiwa na Mungu atahakikisha unaona kwa macho yako na hautaweza kuzuia na madhara yatakuwa makubwa zaidi utalipa with Penalties and interest.
Jutia, acha, tubu, geuka na uondoke utapata Rehema toka kwa Mwenyezi Mungu na kupona na vizazi vyako.
Usijisifu ktk kutenda uovu na uharibifu maana ni chukizo machoni pa Mungu na wanadamu.
 
Mkuu kwani mwanamke kazi yake si kutuhudumia wanaume Sasa namchezea vipi
 
Unajuaje sio tomboy unamjua? Mtu akiwa tomboy hazai? Kuna tomboy namjua huyo ni zaid ya tom ila ana mapacha.....

Labda alianza usagaji akiwa ameshazaa .
Mbona hata Mirembe nasikia ameacha mtoto mkubwa tu?!
Wengine usagqji unachanganya akiwa ameshazaa.
 
Mkuu kwani mwanamke kazi yake si kutuhudumia wanaume Sasa namchezea vipi

Hao ni wanafunzi hapaswi kuwatia kwenye vishawishi kwa namna yoyote , waache wasome usiwarubuni watoto wa watu.

Maguberi yako mtaani si uokote hayo ujipigie tu?!
 
wacha watoto wale raha
 
Kuna shule moja alihama faza wasichana walilia sana!! Hii kusagana sio zote.!

Halafu unasema boys wanapiga nyeto tu?!!
Huko ndio mashoga wengi walikotokea.!
 
hiyo si ni ile ya wavaa ushungi pale Mbuyuni.
 
Tstizo ni ushoga huo usagaji hakuna shida yoyote msichana anaweza kuendelea kuwa msichana tu ila ushoga mvulana anapoteza umwanaume wake na kuwa na ulemavu wa uanithi...mwanamke hawezi kuwa anithi kwa kusagana....kitu kibaya sana ni ISHOGA weka mbali na watoto hii kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…