jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Utakuwa unatokea familia masikini sanaNasikia utajiri wake ni wamasharti...hata magari yake yanayosambaza biashara zake ni moshi mtupu na kelele kama bata vuzi...utajiri wa aina hyo una faida gn?
Kama wewe na ukoo wa baba na mama yako kwa ujumla, pimbi weUtakuwa unatokea familia masikini sana
Kila mtu aishi anavyotaka sio kupangianaKwa hiyo unataka watu wote tufanye kama yeye anavyoishi? [emoji34]
Hahahaaaa. lolBasi hapo kuna watu washajiona wamemzidi Mo kisa tu wana TV kubwa kuliko hyo.
Binafsi sioni shida YOYOTE ila najua kuna masuala mengi ya msingi ya kujua kabla ya kuchangia hii mada
Hii si ya jikoni labdaa?
Kama wangu,kichwani ni mkubwa kuliko kawaida.Ana mwili mzuri Sana aisee!😛
Weka pichaSimu ya dangote ukiiona,unaweza kudhani kuwa ni ya bei rahisi,iko kama nokia kitochi iviiii...nenda kaangalie features zake sasa ndo utajua tajiri sio mwenzako
😂😂😂😂Basi hapo kuna watu washajiona wamemzidi Mo kisa tu wana TV kubwa kuliko hyo.
HahahaaHapo ni chooni kwake!
sony hiyo jiwe acha kabisa
Wazungu wanaita poor mindAkili za kimaskini
[emoji16] [emoji16] [emoji16]That’s obviously!
Kwa pesa zake zile unaanzaje kuona dosari.?
Tunaoumia ni sisi, pesa hatuna na hata miili ya mvuto imegoma... mtuhurumie tu nasi tusimamie ukucha.
Duh’Mo Electro’ ni TV uchwara za kampuni yake, zipo K/koo kumbe yeye hazitumii..!!