Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimekuelewa VEMAWengi wanafikiri kuwa sasa TV1 inaenda kurusha mechi zote za epl kama supersports.Haki ya matangazo yakulipia kwa ukanda wa jangwa la sahara bado dstv wana exclusive right.Njia hii ya kununua ili kuuza ndiyo pekee inampa muuzaji haki yakurusha mechi zote kwa wateja wake kupitia chaneli atakazozichagua.Hapa sasa ndo unaona dstv wanarusha kupitia supresports channels.
Njia nyingine ni kununua mechi moja ya jumamosi itakayochezwa kati ya saa nane mchana mpaka saa kumi za uingereza.Mnunuaji wa haki hii yeye analazimika kutouza hizo mechi,anatakiwa kuzirusha kupitia free to air channels(FTA) ambazo atakuwa ameingia nazo makubaliano ya kibiashara.Hapa sasa unawakuta ECOMAT wa Zimbabwe ambao wamepewa haki hizo mpaka msimu wa 2018/19.Wao watarusha hiyo mechi moja ndani ya muda huo tajwa siku ya jumamosi kupitia hizo TVs.Moja ya hizo TV ni TV1 ambao wamekubaliana na ecomat kurusha mechi moja siku ya jumamosi kwa hapa Tanzania na popote inapofika TV1 ndani ya kusini mwa jangwa la sahara.
Kwahiyo sio kama watu wengi walivyoelewa.Ukiangalia ratiba ya epl mechi nyingi kali hazichezwi jumamosi.Na hata zile kali chache zilizopangwa jumamosi hazichezwi muda huo ulioruhusiwa kwa tv za FTA.Hii inafanywa makusudi ili kuto wakosesha wateja watu wa pay TV kama dstv ambao wanalipa pesa nyingi kununua hizo haki.
Kwa hiyo umuhimu wa dstv kwa hapa bongo bado hauwezi kupunguzwa hata kidogo na hili suala la TV1.Kuna jumamosi zitakuwa hazina mechi hata moja kwa watu wa FTA kwakuwa tu mechi siku hiyo zinaanza late,zaidi ya ule uliokuwa stated kwenye mkataba wao na epl board.
Kwa makadirio ya mechi moja kila wiki tv1 wangerusha mechi 33 tu kwa msimu mmoja.Lakini kwa sababu ya limitation ya muda ni dhahiri zitakuwa chini ya 33.Sasa unawezaje kuibana dstv mwenye mechi 330 kwa season za epl huku wewe unapewa mechi chini ya asilimia 10 tena za kuchaguliwa kimkakati?
[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sio mfuatiliaji kabisa wa michezo lakini jana hii habari ilinipitia tu kwa bati na nilivyoelewa ni kuwa;
wataonesha mara moja kwa wiki (jumatano)
moja ya wachambuzi ni Dr. Leakey sijui Liki.
Ni vipi mkuu kama si bure...Gud newz but si bure kama ilivyotangazwa iyo...
Ww Kichwa Bwa SheeeeWengi wanafikiri kuwa sasa TV1 inaenda kurusha mechi zote za epl kama supersports.Haki ya matangazo yakulipia kwa ukanda wa jangwa la sahara bado dstv wana exclusive right.Njia hii ya kununua ili kuuza ndiyo pekee inampa muuzaji haki yakurusha mechi zote kwa wateja wake kupitia chaneli atakazozichagua.Hapa sasa ndo unaona dstv wanarusha kupitia supresports channels.
Njia nyingine ni kununua mechi moja ya jumamosi itakayochezwa kati ya saa nane mchana mpaka saa kumi za uingereza.Mnunuaji wa haki hii yeye analazimika kutouza hizo mechi,anatakiwa kuzirusha kupitia free to air channels(FTA) ambazo atakuwa ameingia nazo makubaliano ya kibiashara.Hapa sasa unawakuta ECOMAT wa Zimbabwe ambao wamepewa haki hizo mpaka msimu wa 2018/19.Wao watarusha hiyo mechi moja ndani ya muda huo tajwa siku ya jumamosi kupitia hizo TVs.Moja ya hizo TV ni TV1 ambao wamekubaliana na ecomat kurusha mechi moja siku ya jumamosi kwa hapa Tanzania na popote inapofika TV1 ndani ya kusini mwa jangwa la sahara.
Kwahiyo sio kama watu wengi walivyoelewa.Ukiangalia ratiba ya epl mechi nyingi kali hazichezwi jumamosi.Na hata zile kali chache zilizopangwa jumamosi hazichezwi muda huo ulioruhusiwa kwa tv za FTA.Hii inafanywa makusudi ili kuto wakosesha wateja watu wa pay TV kama dstv ambao wanalipa pesa nyingi kununua hizo haki.
Kwa hiyo umuhimu wa dstv kwa hapa bongo bado hauwezi kupunguzwa hata kidogo na hili suala la TV1.Kuna jumamosi zitakuwa hazina mechi hata moja kwa watu wa FTA kwakuwa tu mechi siku hiyo zinaanza late,zaidi ya ule uliokuwa stated kwenye mkataba wao na epl board.
Kwa makadirio ya mechi moja kila wiki tv1 wangerusha mechi 33 tu kwa msimu mmoja.Lakini kwa sababu ya limitation ya muda ni dhahiri zitakuwa chini ya 33.Sasa unawezaje kuibana dstv mwenye mechi 330 kwa season za epl huku wewe unapewa mechi chini ya asilimia 10 tena za kuchaguliwa kimkakati?
daaah bora, ila watarusha mechi ngapi kwa siku au week?
Very expensive Ni shilingi ngapi, usiongee kitu usichokijua, maana hujui hata bei ya kulipia kuonesha EPL, usiongee chochote Kama huna facts.
Aliposema itakuwa bure (ingawa sina uhakika) Alimaanisha kuwa ligi itaoneshwa bure, hapo amekonsida watu wenue ving'amuzi vya startimes ambapo gharama za king'amuzi zimeshajumlishwa na ndiyo maana ukaambiwa hawaraongeza gharama yoyote kwa ajili ya Tv one.
Issue ya kununua Na kufunga (ingawa siyo vyote vinatumia dish) ving'amuzi vya startimes Ni issue moja, Na kulipia Ni issue nyingine, so usitake kuonekana wajua
Tv1 wana channel moja tu sio rahisi wao kuonyesha mechi zote, hapa itakuwa kama TBC ya Tido muhando mechi 1 kwa wikiSina uhakika sana lakini nakumbuka kama hii TV1 ina ufadhili kutoka serikali ya Denmark kwahiyo yawezekana wamewapiku DSTV.
Acha hizo mkuu unategemea wengine tutatokaje sasaAjitokeze na mwingine aoneshe CHAMPIONS LEAGUE aisee tuache kwenda kwenye vibanda umiza usiku ndoa zinatetereka sana
Ninachohisi me nikiwa hawa Tv1 watakuwa wanaonyesha match day 1 kila wiki kama ambavyo dstv huwa wanarusha match moja moja katika kifurushi cha bomba kupitia supersport select hivyo hata Tv1 wanaweza kuwa na package hiyo ambayo sio mbaya kwa kuanzia ila kuniambia match zote siamini wakati wao wanastation moja tu,me sikurupukii hivyo vifurushi ntaendelea kustream online mpaka nione hayo mambo ya bure yapo stable,Japo Kuna jambo linaniacha mdomo wazi nimelipia dstv bomba nashangaa wamefungua ss5,ss7 na ss12 sijajua kama ni kwangu au kwa wateja wote na lengo Lao nini kwani hizi channel zilikuwa bouquet ya Compact plus
Umeonaee!! Usitegemee tena kuwa local chnl inahsmia kiliKWAKUWA TV1 NI LOCAL CHANNEL BASI STARTIMES WATAIPELEKA KWENYE KIFURUSHI CHA BEI GHALI
Afu game uchwaraNadhani itakua mwendo ule ule wa tbc zamani game 1 kwa wiki..
Ni Otorong'ong'oTV one ni moja ya tv nazozipenda kwa vipindi vyake vizuri.ila sijawahi kujua mmiliki wa hii tv station.
Je mmiliki wa Tv one ni nani?
Ujue maswali mengine ya ajabu ndio maana yanajibiwa kwa swali.ITV ya azam na ITV ya startime ni tofautii???
Vizuri, ila facts ulizitoa Ni khs DSTV, Startimes wana monthly subscription fee ambayo Ni ndogo Sana, Na Wao hawaoneshi EPL, hapa anayeonesha (kulingana Na maelezo yake) Ni TV1, siwezi jua wametumia njia gani kupata hiyo right Na wanalipa kiasi gani.Sawa meneja mauzo wa Startimes.
Kwa faida yako tu ni kuwa;
1. Kama kweli jamaa zako wamepata exclusive right ya kurusha matangazo ya mpira - EPL, maana yake ni kuwa wamelipia. Wao watakakuwa wanafanya biashara ya wapi wakuruhusu wewe uangalie bure tu?
Hakuna cha bure dunia ya leo wewe. Narudia tena kusema, kwamba, jiandae kutoroshwa na baadae ni lazima tu ulipe price ya kutoroka!!
2. Sasa hapo bure iko wapi iwapo wameongeza channels ikiwemo hiyo ya kurusha EPL bureeee??
I am sorry mimi situmii king'muzi cha Startimes. Labda naomba unielimishe, kwamba wateja wa Startimes hawana monthly subscription fee kulingana vifurushi anachopenda mteja?
Kama ipo, then tell me. Utatenganishaje monthly subscription fee, gharama ya kununua dish/king'amuzi na gharama za ufundi kwa ku conclude kuwa ni mtatazama ligi kuu ya Uingereza bure eti kupitia kituo cha runinga cha TV1?
Nimefanya research mkubwa. Na kwa faida yako ni kuwa, mimi ni subsriber wa DSTV kwa zaidi ya miaka kumi sasa
Sijui wao wamelipia kiasi gani kupata haki ya kurusha mechi zote za EPL, LA LIGA na ligi zingine. Lakini ni wazi wamelipia fedha nyingi tu kwa kuthibitishwa na bei ya vifurushi vyao kwa mwezi ambavyo ni;
1. PREMIUM- TZS 216,000/= utaona zadi ya channel 300 na EPL mechi zote
2. COMPACT PLUS - TZS 147,000/= na utaona zaidi ya channel 250 na EPL mechi zote
3. COMPACT - TZS 84,500/ na utaona zaidi ya channel 120 na EPL mechi zote
4. FAMILY - TZS 51,000= na utaona zaidi ya channel 90 na baadhi ya mechi za EPL na LA LIGA kati ya mechi mbili au tatu kwa wiki
5. ACCESS - TZS 23,500/= na utaona baadhi ya mechi za EPL na La Liga kati ya moja hadi mbili kwa wiki
Kwa kigezo cha bei ya vifurushi vyao tu hawa jamaa wa DSTV/MultChoice ni wazi kuwa hata wao wanalipa fedha nyingi kutoka kwa wamiliki wa vituo vya runinga ambavyo wameviingiza ktk king'amuzi chao!!
Unataka utafiti gani tena zaidi ya hii fact?