Twaha Kiduku aondoka na gari baada ya kumtwanga Dullah Mbabe

Dullah kaniangusha,"namna gani Dullah!,"
any way,,mimi kama team Dullah nampongeza sana Kiduku kwa mchezo safi kabisa na ngumi zilizonyooka.akaze buti ikiwezekana afike mbali kimataifa"Inshallah"
Dullar mbabe a.k.a yake yangu Leo Ni mpaka poda
 
Ahahhahahahah nimecheka sana eti ngumi ya kichawi kutoka Tanga😅😅😅😅
 
Mtoto wa kiruguru kinachomsaidia hakati tamaa mapema,ajitahidi awe pia na kocha mzuri wa finishing,kwenye kona alikuwa na uwezo wa kumaliza pambano mapema kwani alimuelemea sana Dullah,pambano lilikuwa la kibabe sana kwa kweli
Dullah Mbabe ni mbabe wa mdomoni tu ila mtoto wa Kiluguru anamuweza vizuri tu kamtia vitasa vya kwendaaa😅😅
 
Mtoto wa kiruguru kinachomsaidia hakati tamaa mapema,ajitahidi awe pia na kocha mzuri wa finishing,kwenye kona alikuwa na uwezo wa kumaliza pambano mapema kwani alimuelemea sana Dullah,pambano lilikuwa la kibabe sana kwa kweli
Yah Twaha akinolewa vizuri zaidi atakuwa mchezo anaumaliza mapema sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…