kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Kulinda dola sio kazi nyepesi inayotumia kanuni moja tu. MwenyeziMungu hajaleta haki kwa viumbe wake, ameleta mfumo wa mwenye nguvu mpishe kwa viumbe wake wote akiwemo binadamu. Pambanaaaa lakini ukishindwa usilamu mtu kaa kimya, maana mfumo wa mwenye nguvu mpishe (survival of the fittest) hauhitaji kulalamika. Mfumo huu una kushinda na kunawili (survive), kwenda kukusanya nguvu upya na kurudi tena (regrouping) au kuishia kabisa (extinct).😀😀😀.hyo unaona ni sifa kuuliwa na kutekwa wapinzani.
Asante mungu Mimi si kijana WA CCM.
Ccm ina vijana vilaza sana
Bahati mbaya mfumo huu uliteremshwa na mwenyezimungu mwenyewe kwa viumbe wake wote wakiwemo simba, nguruwe, nyoka, wadudu, nyumbu, nguchilo, senene, samaki, nk. Hakuna kitu kinaitwa haki duniani. Mifumo yote ya dunia haitendi haki, bebu angalia hata mahakama ya ICC, IMF, World Bank, WTO, etc. ICC inashindwa kumkamata Rais wa Marekani, Israel na Urusi kwanini? Kuku anakula panzi kwanini? mwewe anakula kuku kwanini?
Kaka kaa mbali na dola kama nguvu yako ni ndogo, usilete malalamiko ya kaonewa, katekwa, kauliwa, nk. No safe zone, dola lazima ilindwe kwa nguvu zake zote.