Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya

Waliojiandikisha kupiga kura ni milioni 37, unashangaa nini watu milioni 32 kupiga kura? Mbona hushangai waliojiandikisha?
Halafu wakampa Samia kura zaidi ya milioni 30?
Hata kama wewe ni msukule, hesabu ya namna hiyo itakustua!

Lakini najuwa watu kama wewe, hata misukule ina nafuu.
 
kASHOGHI ALIUAWA NCHINI UTURUKI. JE, UTURUKI NI DEVELOPED AU DEVELOPING ?
Huo ni Mfano mfu maana alijichanganya akaingia ubalozini kwake huku akisahau ubalozini ni sawa yuko nchini kwake alikokimbia!
Akauliwa ndani ya ubalozi!
Ni sawa na Mange Kimamba aende aingie ubalozi wa Tz nchini marekani,hapo ni kubet maisha Yako!
 
Sio wangu sema m/kiti wetu mimi na wewe maana anaweza amua atalo dhidi yetu na hakuna wakumpinga
unakosea SIO MUNGU HUYO.hata hivyo kwanini siasa zetu ziwe za kuuana na kutekana?
Kuna umuhimu wowote ?
Nini mana ya chama vingi?
Ukiwa na mamlaka ndo utese watu kisa wanakupinga.
Binafsi huyu mama nimeshamkataa kabisa kabisa hata nikiona picha yake naona weusi motoni mwangu.hata nikimskia aliongea naona kero
 
Shida sio mama shida ni wanachi msiojielewa.
Fikiria vizuri
 
Utawala wa sheria upo.
Nchi yetu tunajipambanua ni ya kidemokrasia.
Lakini vyote hivyo vimewekwa pembeni.
Box la kura sio muamuzi.bado wanakamata,wanatesa ,wanaua .licha ya kuwa na vyombo vyote vya usalama.unadhani ni nani kati ya sisi wananchi na viongo ambao hawajielewi?
 
Alikuwepo magufuli hapo,
Misri alikuwepo firauni.
Ujerumani alikuwepo Adolph Hitler n.k
Wapo wapi?
What's your point? Kwamba kwasababu hawa ni watemi watakufa tu. Si ndio? Haya. LISSU unayempenda akiwa Rais yeye HATAKUFA?
 
Miaka yote Uchaguzi Mkuu ni huru na haki kwasababu hakuna Mahakama yoyote Tanzania uliishawahi kusema tofauti.
Watukufu sana wanaharakati waliohatarisha maisha yao wanapigania pia katiba mpya itakayoupa muhimili wa mahakama uhuru wa kufanya kazi zake na nguvu kubwa, ili zisipelekeshwe na rais au chama tawala.

Lakini zitoe maamuzi ya haki
 
Hao ni wanaharakati uchwara na wajinga.
 
Hao ni wanaharakati uchwara na wajinga.
Kwanini umewatukana wanaharakati wetu mashujaa bila aibu.

Je na sisi tukuteke (maana huwa mnasema wanatekwa kwasababu wanawatukana viongozi)

Lakini hapana tutakuelimisha tu.

Thamani ya uhai wako ni kubwa sana haiwezi lipia mabishano haya ya vijiweni.

Wapo wanaokutegemea Bwana Mungu akupe uzima akujalie uwalee vizuri wakue waipigie kura Chadema
 
Kama unataka kuniteka karibu. Nakaa jirani na Heche John hapa Majengo, Mkolani, Jijini Mwanza.
Kuhusu wanaharakati, quote me, ni wajinga, wapumbavu, washenzi na maamuma wasiojua kitu.

Niendelee?
 
Gerson Msigwa alisema vyombo vyetu vinafuatilia kila kinachoendelea mitandaoni.

Nichukue nafasi hii kuwakumbusha watu wa vyombo

Huyu hapa katoa na taarifa za anapoishi anawatukana viongozi wa upinzani. Ashughulikiwe kwa kadiri ya utamaduni wa utekaji. Na kama haiwezekani kutekwa basi na wale wanaotukana viongozi wa Chama kilichoshindwa kukomesha umaskini wa watanzania wasitekwe pia
 
Ahahahahaha!!!
 
unakosea SIO MUNGU HUYO.hata hivyo kwanini siasa zetu ziwe za kuuana na kutekana?
Kuna umuhimu wowote ?
Nini mana ya chama vingi?
Ukiwa na mamlaka ndo utese watu kisa wanakupinga.
Binafsi huyu mama nimeshamkataa kabisa kabisa hata nikiona picha yake naona weusi motoni mwangu.hata nikimskia aliongea naona kero
Baada ya huyu mama, huyo atakaekuja ndio atakuwa katili zaidi, sasa sijui utakunywa sumu? vipi magufuli ulimpenda alivyomtandika tundu lisu risasi?
 
Back
Top Bottom