Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya

Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya

Mimi napinga ushetani wa ccm kwa miaka mingi, lakini pia siwezi kuwatetea Hikda Newton na huyu Twaha Mwaipaya.

Hilda siku zake pia zinahesabika, hawa ni wapuuzi katika kundi la wapuuzi wengine kama Maria, Rachel Dagwa and some stupidy wengine.

Siasa au harakati haziendeshwi kama wafanyavyo hawa, halafu mtu na akili zako unaona Nairobi ni chimbo?

Mange anawazidi akili kwa mbali hawa wapuuzi.
 
Kenya sio salama kwa wakosoaji. Ondokeni huko hakufai
Hao siyo wakosowaji, kina Askofu Mwamakula wapo Tanzania na wanakosowa kwa fact bila kumtukana mtu.

Wanaodhani wao ndio wanaharakati zaidi wasipobadirika watapukutika mmoja baada ya mwingine, hata tusioipenda ccm hatukubaliani na style yao sasa ndio sembuse vyombo vya dola.

Mwana kulitafuta mwana kulipata, watu wafanye kazi wapate vipato halali na siyo kuishi kiujanja ujanha masaa yote upo mtandaoni kuchonganisha ndio upate pesa.
 
🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️

Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men


UPDATE:

Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kuwa Mwaipaya amechukuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Nairobi baada ya kuwa tracked kwa muda mrefu.

View attachment 3698336

Taarifa kwa kina zinafuatia
Nchi zingine siyo za kukimbilia.kenye,uganda,zambia,malawi, Zimbabwe, Angola,Msumbiji, Botswana huko siyo pa kwenda.
 
Hao siyo wakosowaji, kina Askofu Mwamakula wapo Tanzania na wanakosowa kwa fact bila kumtukana mtu.

Wanaodhani wao ndio wanaharakati zaidi wasipobadirika watapukutika mmoja baada ya mwingine, hata tusioipenda ccm hatukubaliani na style yao sasa ndio sembuse vyombo vya dola.

Mwana kulitafuta mwana kulipata, watu wafanye kazi wapate vipato halali na siyo kuishi kiujanja ujanha masaa yote upo mtandaoni kuchonganisha ndio upate pesa.
Wapi mtu anatukana pasipo na sababu..siku zote wanaiba uchaguzi, lini wamejirekebisha..huwezi kumchagulia mtu maneno ya kusema wakati umemkosea, leo kwa Twaha kesho kwako..endelea kufurahi, zamu yako inakuja..
 
hawafanyi siasa wanachochea watu
Hawachochei chochote wanatoa taarifa ya mabaya yanayofanywa na serikali ili wananchi waweze chagua chama sahihi.

Sasa unataka utekaji uendelee alafu wao wakae kimya.

Na kama wanadanganya ishu ni kutoa ushahidi kwamba kauli zao si za kweli na kuwafungulia mashtaka mahakamani sio kuwateka au kuwaua
 
Waliojiandikisha kupiga kura ni milioni 37, unashangaa nini watu milioni 32 kupiga kura? Mbona hushangai waliojiandikisha?
Kwa taarifa yako hiyo idadi ya kura ilipikwa kuendana na idadi iliyotangazwa kujiandikisha. Hawakuajindikisha watu hata 10m. Usidhani aliyekujibu hapo anaamini hiyo idadi ya waliojiandikisha. Polepole alisema database ya NIDA ndio iliyotumika. Ana uzoefu na hilo kwani ndio mbinu waliyotumia wakati wa Magufuli kwenye chaguzi za 2019/20.
 
🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️

Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men


UPDATE:

Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kuwa Mwaipaya amechukuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Nairobi baada ya kuwa tracked kwa muda mrefu.

View attachment 3698336

Taarifa kwa kina zinafuatia
Itakua pambalu ndio anawapa ramani sijui kwa nini hawakwenda kuomba asylum huko mbali abroad
 
Kwa hiyo wewe unaamini watu milioni 32 walipiga kura nchi yenyewe ilikuwa ina watu milioni sitini na hapo milion thelathini ni watoto sasa hao milioni thelathini wanatoka wapi. Mahaba yamezidi umekataa kabisa hata kuwa mkweli, umekataa hata kuwa na huruma
Hisia kamwe haziwezi kuwa uhalisia. Kura zilipigwa; CCM ilishinda na Samia Suluhu Hassan ndio Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hadi 2030. Yaliyobaki ruksa kuongea. Kwani midomo ya nini zaidi ya kuongea na kula? Ahahahahaha!!
 
Back
Top Bottom