Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya

Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya

Siku nikiikosea Serikali na nchi yangu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, USINIHURUMIE nitakapoadhibiwa!
Nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria. Sema nikivunja sheria za nchi na kukamatwa kwa utaratibu stahiki
 
Kazi chafu huishia kwa uchafu pia kupoteza ushahidi.

Ukifuatilia kwa undani magenge ya watekaji enzi za jiwe yalivyokuwa "dissolved" utajua na hao vidampa wa kazi chafu wakishamaliza kazi huwa nini kinafuatia.
Yalikuwa dissolved? Sijaelewa
 
Kwa utawala wa.yule.kumah ruto ni dhahiri shahiri kua sio kitu Cha ajabu kushirikiana.na wauaji na makafiri wa Tanzania kuteka na kuua watanzania...
 
Hakuna jema linalotegemewa kutoka kinywani mwa mfuasi wa ibilisi shetani wa kiwango cha mtu kama Mwashambwa!! Mwashambwa anazidi kudhihirisha kuwa nafsi yake ni makao ya shetani. Lakini kwa wakati ulio sahihi MUNGU WA HAKI atamdhihirishia kuwa shetani anayemwabudu na kumtumainia si chochote mbele ya Mungu, ndipo atalia na kusaga meno.
Huyo shoga asikusumbue mkuu. Huyo Yuko tayari hata kufirwa kwa ajili ya cccm
 
Nchi yetu imekuwa kama kitu cha kuchezea, kila mtu anafanya anavyotaka
Inasikitisha sana
Sasa watekaji wamefika kimataifa
Inasikitisha

Mimi nipo salama, rafiki yangu, sijadhurika❤️

Sina madhara hata hivyo
As i told you last time! Don't trust.

Hali ni mbaya watanganyika tunawindana wenyewe kwa wenyewe.

Pesa, mali na madaraka zidi ya maisha ya raia wema walioamua kusema kweli yao
 
We were a country that was a safe heaven for ather nations.

But as of now everything has vanished and we have turned into refugees in foreign countries and still we pursue each other even there.

We are no longer safe.

Cc ShesRise_1 hope you are safe
Uwongo mtupu
 
🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️

Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men


UPDATE:

Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kuwa Mwaipaya amechukuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Nairobi baada ya kuwa tracked kwa muda mrefu.

View attachment 3698336

Taarifa kwa kina zinafuatia
Kudhihirisha kwamba bado hatuko pamoja na woga umetuzidi. HAKUNA HATA CHOMBO KIMOJA CHA HABARI KIMELIELEZEA HILI TUKIO! ZAIDI YA SISI MITANDAONI!
KAZI BADO NI NGUMU ILI KUPATA USHINDI!
 
Nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria. Sema nikivunja sheria za nchi na kukamatwa kwa utaratibu stahiki
Kila mtu anakamatwa kwa utaratibu stahiki. Kelele za watu waovu haziwezi kuizuia Serikali kufanya kazi yake.
 
Kila mtu anakamatwa kwa utaratibu stahiki. Kelele za watu waovu haziwezi kuizuia Serikali kufanya kazi yake.
Akati watu wanapotea hawaonekani tena hatusikii wamepelekwa mahakamani hatusikii wamefungwa. Polepole yuko wapi.

Naijua unaipenda CCM, pengine unampenda Samia lakini kuwa mkweli ili haya maovu yaishe. Tukishikamana nchi nzima, tutaikomboa nchi yetu na changamoto hii ya utekaji. Haujachelewa sisi tutasamehe post zako zote za humu ndani

Binadamu ndivyo tulivyo wengine wanachelewa kuelewa wengine wanawahi, wengine wanachelewa kushawishika na wengine wanawahi lakini ukweli utasimama
 
Hayo matokeo ya uongo uliyafanyia forensic fraud ukagundua ya uongo?
Kwa hiyo wewe unaamini watu milioni 32 walipiga kura nchi yenyewe ilikuwa ina watu milioni sitini na hapo milion thelathini ni watoto sasa hao milioni thelathini wanatoka wapi. Mahaba yamezidi umekataa kabisa hata kuwa mkweli, umekataa hata kuwa na huruma
 
Huwa najiuliza sana kwanini activists, wanafikiri au kuichukulia Kenya kama sehemu salama "safe haven"??

How safe is Kenya?
It is safe because Ina Katiba Mpya 😂😂

As per Chadomo Katiba Mpya ndio Kila kitu.

My Take: Siungi mkono utekaji Kwa utapeli wa siasa Cha Chadomo
 
Ndio siasa za ccm na MWENYEKITI wake zilipotufikisha.
Sasa Kuna haja gani ya kuwa na chama vya upinzani?
Kwanini msiifute chadema tukajua Moja kuwa haipo
Mbona hata ccm wanatekwa au kubambikiwa kesi wakitofautiana mawazo???
Suluhisho sio kufuta upinzani bali mawazo kinzani ili woote tumtii mwenye kiti kwa kila atakalo
 
Kwa hiyo wewe unaamini watu milioni 32 walipiga kura nchi yenyewe ilikuwa ina watu milioni sitini na hapo milion thelathini ni watoto sasa hao milioni thelathini wanatoka wapi. Mahaba yamezidi umekataa kabisa hata kuwa mkweli, umekataa hata kuwa na huruma
Waliojiandikisha kupiga kura ni milioni 37, unashangaa nini watu milioni 32 kupiga kura? Mbona hushangai waliojiandikisha?
 
Back
Top Bottom