Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya

Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya

Nitafurahi sana nikisikia Siku Kale Ka Hilda Newton kamekamatwa.

Hakuna jema linalotegemewa kutoka kinywani mwa mfuasi wa ibilisi shetani wa kiwango cha mtu kama Mwashambwa!! Mwashambwa anazidi kudhihirisha kuwa nafsi yake ni makao ya shetani. Lakini kwa wakati ulio sahihi MUNGU WA HAKI atamdhihirishia kuwa shetani anayemwabudu na kumtumainia si chochote mbele ya Mungu, ndipo atalia na kusaga meno.
 
Sikuamini, Sheikh Yahya ndani Botswana, halafu Kaijage alivyo fala hata hakushtuka huyu amenijuaje, na mara nyaraka zikapotea katika mazingiwa ya kutatanisha
Bonge la Movie
Zilipopotea nyaraka ndiyo akakumbuka jinsi alivyomtazama kwa mara ya kwanza,kama mtu anayefananisha, sheikh alikua hajaiva upande huo,ndipo jamaa akashtuka na kuchimba
 
Kama Heche alivyotakiwa kukaa pembeni kupisha uchunguzi wa kufisadi pesa za tone tone, alitukana matusi yote kisa madaraka hataki kuachia ehe
Hii ndio ile unamwambia jirani Yako kuwa mwanao ni mwizi,na yeye anajibu mbona mwanao naye ni tapeli!
 
Hakuna jema linalotegemewa kutoka kinywani mwa mfuasi wa ibilisi shetani wa kiwango cha mtu kama Mwashambwa!! Mwashambwa anazidi kudhihirisha kuwa nafsi yake ni makao ya shetani. Lakini kwa wakati ulio sahihi MUNGU WA HAKI atamdhihirishia kuwa shetani anayemwabudu na kumtumainia si chochote mbele ya Mungu, ndipo atalia na kusaga meno.
Hehehe, kwa iyo hao wanaharakati uchwara wanavyomtukana Samia ni wacha Mungu dah
 
Jiji la Nairobi kwenye barabara zote ziko na CCTV camera!
Tunaomba picha na video za CCTV, eneo husika
 
Sa100 hii kazi ya kuteka na kuua anaiweza sana tuu
 
We were a country that was a safe heaven for ather nations.

But as of now everything has vanished and we have turned into refugees in foreign countries and still we pursue each other even there.

We are no longer safe.

Cc ShesRise_1 hope you are safe
 
Kama Heche alivyotakiwa kukaa pembeni kupisha uchunguzi wa kufisadi pesa za tone tone, alitukana matusi yote kisa madaraka hataki kuachia ehe
utakufa tu, hata ukawa chawa kupita wote........Mungu hakuachi aslani
 
Canada kuna unafuu kiasi lakini huyu waziri mkuu wao naye anachukua hatua za kupunguza uhamiaji wa kila aina kwa kiasi kikubwa.
Sasa itakuaje ndugu wanaharakati wafanyaje
 
We were a country that was a safe heaven for ather nations.

But as of now everything has vanished and we have turned into refugees in foreign countries and still we pursue each other even there.

We are no longer safe.

Cc ShesRise_1 hope you are safe
Nchi yetu imekuwa kama kitu cha kuchezea, kila mtu anafanya anavyotaka
Inasikitisha sana
Sasa watekaji wamefika kimataifa
Inasikitisha

Mimi nipo salama, rafiki yangu, sijadhurika❤

Sina madhara hata hivyo
 
Back
Top Bottom