blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 13,696
- 17,306
Utawauliza wanachomanaje endapo watatoka Hai...Ndiyo propaganda zenu hizi. Wanachomana ili iweje sasa! Ni kwa sababu wanavutiwa na sera za huyo maza wenu?
Utawauliza wanachomanaje endapo watatoka Hai...Ndiyo propaganda zenu hizi. Wanachomana ili iweje sasa! Ni kwa sababu wanavutiwa na sera za huyo maza wenu?
Kosoa kwa staha na utaratibu..mbona Manyika anakosa nk ila yupo huru? Mfano wewe hapo umeandika matusi alafu unataka uvumiliwe unaona hii ni sawa kabisa?Qma yako we chawa usiye na akili
Unadhani huyo mamako kilaza anavyoteka wakosoaji ndio watz walio wengi watampenda na kumkubali??
Halafu na nyinyi mkifikwa na mauti, wananchi wakishangilia mnanuna na kushangaa!Utawauliza wanachomanaje endapo watatoka Hai...
Labda waweza kutufafanulia, ametenda kosa gani?Hakuna fedha...ni kibano cha uhakikaa....
Sijui kwanini wana opt nchi za East Afrika.Kwanini hawaendi huko Ughaibuni? Au kupata asylum huko ni shida?
Mkuu kama ww ni kapuku achana na hizo mambo.... unafanyia harakati Kenya!??!?Halafu mkifikwa na mauti, wananchi wakishangilia mnanuna na kushangaa!
Mi sijui Mkuu...Labda waweza kutufafanulia, ametenda kosa gani?
K kibuyu.hahaa f-qck. U
Mimi nafanya harakati za nini? Ninajaribu kuwaambia ukweli. Haya mnayoyafanya sasa hata akina Adolf Hitler, Bennito Musolini, Idd Amin Dada, Muammar Gaddaf, Saddam Hussein, na wengineo wengi waliyafanya kitambo tu.Mkuu kama ww ni kapuku achana na hizo mambo.... unafanyia harakati Kenya!??!?
Shauri yako...
Utaishi ka DigiDigi....
😅😅😅
Bora ametekewa Kenya sisi haituhusu🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️
Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men
UPDATE:
Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kuwa Mwaipaya amechukuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Nairobi baada ya kuwa tracked kwa muda mrefu.
View attachment 3698336
Taarifa kwa kina zinafuatia
Sawa Banaa...Mimi nafanya harakati za nini? Ninajaribu kuwaambia ukweli. Haya mnayoyafanya sasa hata akina Adolf Hitler, Bennito Musolini, Idd Amin Dada, Muammar Gaddaf, Saddam Hussein, na wengineo wengi waliyafanya kitambo tu.
Leo hii kiko wapi?
Ni bora apatikane sasa maana unaweza kukuta hayupo hai hivi sasaSamia anazidi kuwalazimsha Chadema waende kwenye meza ya mazungumzo.
Inabidi sasa hawa jamaa wafanye wawezalo waende balozi za nchi za ulaya zilizopo Dsm wakapewe hifadhi, wasiende tena huko nje.
ikilazimu wasafirishwe kwenda nje wakiwa na escort ya wazungu kama ilivyokuwa kwa Lissu.
Twaha nae anaweza kupewa kesi ya uhaini, jamaa watafanya kila wanachotaka huku tukiendelea kuwatazama tu na kulia mitandaoni.
Ina maana raia waliokuwa karibu hawakufanya chochote hata kupiga kelele?na hiyo gari iliyomteka walishindwa kabisa kuirekodi?
Huyo Twaha mbona hakuhumi na ni kobaz mwenzako?Tulia fisi wewe
Unaijua Kenya wewe au unataka kupakatwa
Ni suala la muda tu,kama Nchimbi alitukana?Polepole alitukana?Mbowe je?Lissu kumiminiwa risasi,alitukana?Mzee kibao alimtukana nani?Kosoa kwa staha na utaratibu..mbona Manyika anakosa nk ila yupo huru? Mfano wewe hapo umeandika matusi alafu unataka uvumiliwe unaona hii ni sawa kabisa?
Kiingereza cha AI am sure about it.I find this amusing bro 🤣
25 October 2026
Tanzanian Activist Twaha Mwaipaya Allegedly Abducted by Armed Men in Machakos
- by Maxwell Amunga on Sunday, 25 October 2026 - 5:20 pm
![]()
Masked police holding ammunition during the June protests 2024, Nairobi.
Tanzanian activist Twaha Mwaipaya has allegedly been abducted by armed men in Kamulu, on the outskirts of Nairobi, raising concerns over his safety and whereabouts.
According to human rights group Amnesty International, Mwaipaya was reportedly abducted at around 2 pm while travelling by taxi to visit friends in Kamulu, Machakos County.
The individuals involved were travelling in three vehicles, including a Toyota Land Cruiser Hardtop.
“Twaha Mwaipaya, a Tanzanian national, was reportedly abducted at around 2 pm today in Kamulu, Machakos County, by individuals travelling in three vehicles, including a Toyota Land Cruiser hardtop. He was travelling by taxi to visit friends," Amnesty International stated.
Popular Tanzanian activist Maria Sarungi also confirmed the news of the disappearance of the fellow activist, and confirmed that she, in coordination with the relevant human rights bodies, is working round the clock to track him.
She also called on the Kenyan authorities to close off the Namanga border between Kenya and Tanzania in particular, as well as establish checkpoints to help secure his freedom.
"We appeal to those who can to head to the borders, especially the Namanga border, to ensure that any Toyota Hardtops are inspected. We trust you, our brothers and sisters in Kenya," Sarungi stated
Acha kushusha hadhi yangu mkuu .Kiingereza cha AI am sure about it.
Nina hamu snaa nikisikia Samia amekufa kwa ajali na kukatikakatika.Nina hamu ya kusikia Ka Hilda Newton kamenaswa