Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya

Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya

🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️

Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men


UPDATE:

Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kuwa Mwaipaya amechukuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Nairobi baada ya kuwa tracked kwa muda mrefu.

Taarifa kwa kina zinafuatia
Abduction= Abdul in action
 
Samia wa 2020 akikutana na huyu wa Leo,vita Kali itapiganwa!
Kwa umri wake na muda mchache aliobakiza duniani,ni bora angeutumia kutenda mema na kuwa mcha Mungu!
Ila haya madaraka,Sijui yana uchawi gani kwa hii ngozi nyeusi!Tumetupiwa laana gani?
 
Kwani Maria alitekwa akiwa wapi? Si Nairobi. Ina maana Hawa watekaji wabongo Wana access na Nairobi. Kuanza kumlaumu Pambalu sio haki. Huyo Maria bika kelele za wakenya angekuwa ameshauawa au kuwa deported.
Kama ulifatilia maelezo ya Maria baada ya kusalimika..huwezi kuleta huu mfano, yeye mwenyewe Maria alisema alifikiwa baada ya watu asiowadhania kutoa details zake kwa watekaji..
 
🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️

Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men


UPDATE:

Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kuwa Mwaipaya amechukuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Nairobi baada ya kuwa tracked kwa muda mrefu.

View attachment 3698336

Taarifa kwa kina zinafuatia
Watanzania tumezidi kwa uoga. Mimi nikiwa kwenye gari halafu mazafakas wakabloki gari yangu, siku hiyo ndiyo mwisho wa maisha yangu au yao. I’ll weaponize my vehicle na kusababisha balaa lisilo la kitoto!
 
Mmeanza lawama za kijinga. Yani nyie wanaoonewa ndio mnawashambulia. Wewe umeambiwa huyo Twaha amekuwa anatafutwa kwa muda mrefu, wewe unaanza kuongelea mambo ya Pambalu.
..ujinga unao wewe sabb akili yako inawaza km kifaranga cha kuku.
 
Ila watu niliwaonya kuwa hapo Kenya sio salama hata kidogo kwa wanaharakati lakini baadhi ya mapimbi yakanibishia.
sio kenya tu Africa yote haipo salama kwa wapinzani..
 
Back
Top Bottom