Mwana parokia
JF-Expert Member
- Sep 27, 2023
- 1,193
- 2,066
Nafikiri kinachofuata miaka ijayo TANZANIA ,KENYA NA UGANDA Genz wataaungana kupigania haki dhidi ya madiktetaSamia anazidi kuwalazimsha Chadema waende kwenye meza ya mazungumzo.
Nae anaweza kupewa kesi ya uhaini, jamaa watafanya kila wanachotaka huku tukiendelea kuwatazama tu na kulia mitandaoni.
Ina maana raia waliokuwa karibu hawakufanya chochote hata kupiga kelele?
Hiyo gari iliyomteka walishindwa kabisa kuirekodi?