Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Taratibu tu tunaenda
Sio wangu sema m/kiti wetu mimi na wewe maana anaweza amua atalo dhidi yetu na hakuna wakumpingaSawa MWENYEKITI wenu ataishi milele.binafsi nimemuachia mungu .
Si wanaua kisa siasa?sawaa
😂😂😂Nakuonea huruma sana! Bora ugawe tako kama Sufiani upewe hata cheo UVCCM kuliko njia uliyoichagua.
Una roho mbaya! Nakosa maneno ya kukuelezea
Basi sasa elezaSiasa au harakati haziendeshwi kama wafanyavyo hawa, halafu mtu na akili zako unaona Nairobi ni chimbo?
Mange anawazidi akili kwa mbali hawa wapuuzi.
Waliopiga kura nchi nzima pengine hawafiki milioni mbiliHisia kamwe haziwezi kuwa uhalisia. Kura zilipigwa; CCM ilishinda na Samia Suluhu Hassan ndio Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hadi 2030. Yaliyobaki ruksa kuongea. Kwani midomo ya nini zaidi ya kuongea na kula? Ahahahahaha!!
Wanachopigania watakatifu wanaotekwa kila leo ni chaguzi zijazo ziwe huru na hakiHisia kamwe haziwezi kuwa uhalisia. Kura zilipigwa; CCM ilishinda na Samia Suluhu Hassan ndio Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hadi 2030. Yaliyobaki ruksa kuongea. Kwani midomo ya nini zaidi ya kuongea na kula? Ahahahahaha!!
kUNA TAIFA LISILO NA WATEKAJI ?Itakua pambalu ndio anawapa ramani sijui kwa nini hawakwenda kuomba asylum huko mbali abroad
HIZI DHARAU HAZIFAI, TUTAKUJA KUONANA WABAYA.Kiingereza cha AI am sure about i
Nitajie developed , Kuna developing countrieskUNA TAIFA LISILO NA WATEKAJI ?
kASHOGHI ALIUAWA NCHINI UTURUKI. JE, UTURUKI NI DEVELOPED AU DEVELOPING ?Nitajie developed , Kuna developing countries
Kwa vigezo vipi wkt nchi nzima ilikuwa swali tofauti ni maeneo kidogo tu kimara barabarani Kinondoni kidogo na sehemu chache za mbeya na basiWaliopiga kura nchi nzima pengine hawafiki milioni mbili
Unafikiri huyo mtu ni mzima kichwani mwake?ni kadogo sana? Msipende sana wenzenu waishilie kusikojulikana, hao ni kama ninyi tu, acheni siasa za kishamba
Uko radhi kufirwa kisa CCMIt is safe because Ina Katiba Mpya 😂😂
As per Chadomo Katiba Mpya ndio Kila kitu.
My Take: Siungi mkono utekaji Kwa utapeli wa siasa Cha Chadomo