Kulinda dola sio kazi nyepesi inayotumia kanuni moja tu. MwenyeziMungu hajaleta haki kwa viumbe wake, ameleta mfumo wa mwenye nguvu mpishe kwa viumbe wake wote akiwemo binadamu. Pambanaaaa lakini ukishindwa usilamu mtu kaa kimya, maana mfumo wa mwenye nguvu mpishe (survival of the fittest) hauhitaji kulalamika. Mfumo huu una kushinda na kunawili (survive), kwenda kukusanya nguvu upya na kurudi tena (regrouping) au kuishia kabisa (extinct).πππ.hyo unaona ni sifa kuuliwa na kutekwa wapinzani.
Asante mungu Mimi si kijana WA CCM.
Ccm ina vijana vilaza sana
Muulize mama yake Mwaipaya kama hakuna siku aliwahi kumuonya mwanawe asifanye anachofanya. Muulize mama yake Heche au Pambalu kama hawajawahi kuwaonya watoto wao wasijiingize kwenye mambo yenye ukakasi, Muulize mama yake Polepole, na wengine na wengine....Kwani Twaha amemkosea mama ake mbona sielewi
Uhakika ni kuwa walimuua Yesu na kila mtu alimuona kafa na kuzikwa. Huko kufufuka ni nahau za imani zinazohitaji mahubiri.Alifufuka siku ya tatu. Mungu alimfufua siku ya tatu.
Mungu yuko juu ya mamlaka zote duniani
Hata Maria, Hilda na Mange ni swala la muda tyuu.Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanuka uchi wanatuchezesha kimaisha kweli?
π¨βΌοΈABDUCTION IN NAIROBIβΌοΈ
Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men
UPDATE:
Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kuwa Mwaipaya amechukuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Nairobi baada ya kuwa tracked kwa muda mrefu.
View attachment 3698336
Taarifa kwa kina zinafuatia
Kama na viongozi wa CCM wanawaza hivyo basi hii nchi itaingia kwenye machafuko.Kulinda dola sio kazi nyepesi inayotumia kanuni moja tu. MwenyeziMungu hajaleta haki kwa viumbe wake, ameleta mfumo wa mwenye nguvu mpishe kwa viumbe wake wote akiwemo binadamu. Pambanaaaa lakini ukishindwa usilamu mtu kaa kimya, maana mfumo wa mwenye nguvu mpishe (survival of the fittest) hauhitaji kulalamika. Mfumo huu una kushinda na kunawili (survive), kwenda kukusanya nguvu upya na kurudi tena (regrouping) au kuishia kabisa (extinct).
Bahati mbaya mfumo huu uliteremshwa na mwenyezimungu mwenyewe kwa viumbe wake wote wakiwemo simba, nguruwe, nyoka, wadudu, nyumbu, nguchilo, senene, samaki, nk. Hakuna kitu kinaitwa haki duniani. Mifumo yote ya dunia haitendi haki, bebu angalia hata mahakama ya ICC, IMF, World Bank, WTO, etc. ICC inashindwa kumkamata Rais wa Marekani, Israel na Urusi kwanini? Kuku anakula panzi kwanini? mwewe anakula kuku kwanini?
Kaka kaa mbali na dola kama nguvu yako ni ndogo, usilete malalamiko ya kaonewa, katekwa, kauliwa, nk. No safe zone, dola lazima ilindwe kwa nguvu zake zote.
Wewe ni dini ganiUhakika ni kuwa walimuua Yesu na kila mtu alimuona kafa na kuzikwa. Huko kufufuka ni nahau za imani zinazohitaji mahubiri.
Biblia Takatifu ndicho kitabu kinachoongoza kwa kuonesha mauaji mengi kufanywa na Mungu, Wafalme, Manabii na Viongozi wengine mbalimbali na Mungu akibariki.Mungu aliona mbali kuweka siku ya hukumu.
Hauwezi kuuwa wenzako alafu uachwe hivi hivi siku yako ipo.
Kila mtu atakufa.
Ndo maana tunatakiwa tuishi Kwa wema.
Hakuna sababu yoyote ya kumuua mtu kisa yeye ni upande mwingine wa chama.
Makosa ni pale anapojitokeza mtu amabe anapinga kila kitu alichofanya, kukiamini na kukiacha Nyerere kabla ya kufa.Kama na viongozi wa CCM wanawaza hivyo basi hii nchi itaingia kwenye machafuko.
Aliyeweke msingi wa amani kwenye hii nchi mwalimu Julius Nyerere alisema bila haki hakuna amani.
Tutembee kwenye misingi iliyoachwa na waasisi
Kabla nchi haijachafuka lazima atachafuka vibaya sana anaetaka kuichafuka. Kwenye hilo nadhani hakuna majadiliano, serikali, bunge, mahakama na wananchi wako pamoja kutimiza hilo.Kama na viongozi wa CCM wanawaza hivyo basi hii nchi itaingia kwenye machafuko.
Aliyeweke msingi wa amani kwenye hii nchi mwalimu Julius Nyerere alisema bila haki hakuna amani.
Tutembee kwenye misingi iliyoachwa na waasisi
SAWANi sawa na Mange Kimamba aende aingie ubalozi wa Tz nchini marekani,hapo ni kubet maisha Yako!
Mungu hakutuletea dini hata moja ambayo mtu ana hiari ya kuifuata au kuiacha, bali katuletea amri kuu ambazo huwezi kuikiuka hata moja na kubakia hai. Amri hizo kuu ni kama vile kula chakula, kuvuta hewa na kuitoa, kulala, kutoka jasho, kukojoa, kunywa maji, kunya, kujamiana, nk. Hizi dini zote ni man made, ndiyo maana mtu anayo hiari ya kuata hii au ile bila kuwashwa wala kujikuna mwilini.Wewe ni dini gani
Kwa maana wakristo wanajua Yesu alifufuka katika wafu aleluya
View: https://youtu.be/M7JPgLEv5rk?si=6F2RenY-rVDp5ZZZ
Na waislamu wanasema hakuuawa kabisa.
Mungu hawezi shindwa na binadamu hata siku moja
Kwanini unatutafutia ban wewe? Hivi kuna mamlaka halali katika nchi hii au kikundi cha wahuni tu?Kanuni ni moja tu kaka, heshimu mamlaka. Hata Mitume wengi walikufa kwa kudharau mamlaka. Yesu kawambwa kwenye mti kwa kukaidi mamlaka.
Ukikaidi mamlaka maana yake unajianda kukabiliana na ile kanuni kuu kutoka kwa Mungu ya survival of the fittest. Are you fit enough to defeat your opponent?
Lakini muungano aliouacha Nyerere mbona watu wanaulalamikia kila kukicha, wazanzibari wanaulalamikia sana na siku hizi hata watanganyika wameanza kuulalamikia. Malalamiko hayo maana ake lazima yatatuliwe huwezi shikilia kitu kinachoumiza watu kwasababu ya Nyerere akati Nyerere mwenyewe alikuwa hapendi watu waumie.Makosa ni pale anapojitokeza mtu amabe anapinga kila kitu alichofanya, kukiamini na kukiacha Nyerere kabla ya kufa.
Leo hii watu hawaitaki Katiba ya Nyerere, hawautaki Muungano wa Nyerere na Ujamaa wa Nyerere. Ni heri hata usimtaje Nyerere kwenye hili.
Nyerere ndiye kavileta vyama vingi hata baada ya 80% ya wananchi kuvikataa, lakini alishiriki pia kwenye kufanya mabadiliko kwenye katiba yaliyoruhusu nchi ya vyama vingi. Sasa kuna maandazi wanampongeza Nyerere huku hawataki Katiba yake at the same time. Ni wehu na lazima tuwasaidie kuwaheshimu waasisi wetu waliotupatia hii gundi iliyotuunganisha kama taifa. Kuna maandazi eti anadai Tanganyika kama vile hakuwepo wakati Tanganyika inafutwa na madai ya G55 yanasambaratishwa na Nyerere. Ni mwehu lazima arudishwe kwenye mstari.
Naona umeamua kujifanya unajaua kuliko mitume na manabii, huviheshimu tena vitabu vitakatifu umeamua utengeneze nadharia zako mwenyewe hongera sanaMungu hakutuletea dini hata moja ambayo mtu ana hiari ya kuifuata au kuiacha, bali katuletea amri kuu ambazo huwezi kuikiuka hata moja na kubakia hai. Amri hizo kuu ni kama vile kula chakula, kuvuta hewa na kuitoa, kulala, kutoka jasho, kukojoa, kunywa maji, kunya, kujamiana, nk. Hizi dini zote ni man made, ndiyo maana mtu anayo hiari ya kuata hii au ile bila kuwashwa wala kujikuna mwilini.
Mbinu pekee Mwenyezimungu aliyekupatia ili kuyapata mahitaji yako na matamanio yao yote ni the survival of the fittest kwenye kila kitu na kila jambo kuanzia chakula, mademu, biashara, elimu, utawala, uongozi, nk.
Wale wote wanaopambana hapa nchini, Nairobi na kwingine siwashangai wala kuwabeza, lakini wakishindwa, kukamatwa, kutekwa, kuuliwa, kufungwa pia sishangai, maana msingi ya survival of the fittest ndiyo inavyo operate. Ukishinda atatusua na ukishindwa utavutwa korodani zako. Wewe unadhani kama chadema wangefanikiwa kuiangusha serikali siku ile ya 25 October 2025 huyu Mwaipaya na, Heche, Lissu, Nshala, Mange, Maria wangekuwa na cheo gani hivi sasa?
Lazima ufahamu kuwa hawa akina Mwaipaya wamejitosa kwenye mfumo wa survival of the fittest kujaribu kujipima ubavu na dola kujaribu bahati yao. Kama wakivunjwa taya it is part of the power game. Hututaki milio, ooh hivi oooh vile!! kama unaweza mngewaasa mapema kuhusu matokeo ya kupimana ubavu na dola halali.
Vijana wetu hawa waelimishwe kuwa Dunia hii hakuna mahali salama kwa kujificha adui wa serikali yoyote duniani kwasababu hakuna serikali ambayo haina adui. Serikali zote duniani zinahitajiana, kama sio leo basi kesho, kama sio kwa hili basi kwa lile. Marekani sasa hivi wanataka mafuta ya dizeli ya urusi kwa kumtelekeza rafiki yao Zelenziky ikibidi.
Suluhu ya migongano hii ni nini, siyo kuteka na kuua, suluhu ya migongano hii ni kuanza upya mchakato wa katiba mpya kwasababu wadau wote watakuepo na muafaka utapatikana na Nyerere huko mbinguni alipo atafurahi kuona watu wake wameelewana na sasa nchi inaelekea uhuru, demokrasia ya kweli na maendeleo.Lakini muungano aliouacha Nyerere mbona watu wanaulalamikia kila kukicha, wazanzibari wanulalamikia sana na siku hizi hata watanganyika wameanza kuulalamikia. Malalamiko hayo maana ake lazima yatatuliwe huwezi shikilia kitu kinachoumiza watu kwasababu ya Nyerere akati Nyerere mwenyewe alikuwa hapendi watu waumie.
Katiba alioiacha Nyerere mbona ina shida pia, Nyerere mwenyewe alisema katiba ina shida. Aliwahi kwa katiba hii rais anaweza akawa dikteta. Sasa watu wanataka mabadiliko mnawateka, kweli mnamfuata nyerere au mmechanganyikiwa.
Msikilize hapa Nyerere kuhusu udikteta
View: https://youtu.be/9hg9hBBMDa8?si=wVRbLpuDT134PNbc
Mnaomba misheni zipungueje ??Aiseeee inasikitisha sana ,walianza Maria ,wakaja Mushabaha na sasa Mwaipaya.
#Tunaomba misheni za watekaji zifeli.
i. hakuna Katiba duniani inayopendwa na 100% ya raia wote, ili ujuwe ni wangapi anailalamikia na kwanini sio jambo rahisi hivyo kama unavyosema wewe mtaani tu kuwa watu hawaitaki bila kuwa na takwimu za maana kabisa.Lakini muungano aliouacha Nyerere mbona watu wanaulalamikia kila kukicha, wazanzibari wanulalamikia sana na siku hizi hata watanganyika wameanza kuulalamikia. Malalamiko hayo maana ake lazima yatatuliwe huwezi shikilia kitu kinachoumiza watu kwasababu ya Nyerere akati Nyerere mwenyewe alikuwa hapendi watu waumie.
Katiba alioiacha Nyerere mbona ina shida pia, Nyerere mwenyewe alisema katiba ina shida. Aliwahi kwa katiba hii rais anaweza akawa dikteta. Sasa watu wanataka mabadiliko mnawateka, kweli mnamfuata nyerere au mmechanganyikiwa.
Msikilize hapa Nyerere kuhusu udikteta
View: https://youtu.be/9hg9hBBMDa8?si=wVRbLpuDT134PNbc
Suluhu pia sio kukata watu vidole vyao, kuchoma mali za watanzania wenzako wanaotafuta kama wewe, kuchoma miundombinu tuliyojenga kwa misaada na mikopo inayotumiwa na watanzania wa kawaida kabisa. Kama ukifanya hivyo unaactivate mode ya the survival of the fittest. Ukishindwa kwenye mpambano jitahidi kubali yaishe bila kutoa milio ya kuomba huruma za dunia. Kwakuwa dunia pia inafahamu kwanini yamekupata.Suluhu ya migongano hii ni nini, siyo kuteka na kuua, suluhu ya migongano hii ni kuanza upya mchakato wa katiba mpya kwasababu wadau wote watakuepo na muafaka utapatikana na Nyerere huko mbinguni alipo atafurahi kuona watu wake wameelewana na sasa nchi inaelekea uhuru, demokrasia ya kweli na maendeleo.
View: https://youtube.com/shorts/J5snZ20UkKk?si=tVPL4v71GoXabX9I
Lakini shinikizo la katiba mpya limekuwa kubwa, kweli ni busara kulipuuza.i. hakuna Katiba duniani inayopendwa na 100% ya raia wote, ili ujuwe ni wangapi anailalamikia na kwanini sio jambo rahisi hivyo kama unavyosema wewe mtaani tu kuwa watu hawaitaki bila kuwa na takwimu za maana kabisa.
2. hakuna muungano unaopendwa na 100% ya wanamuungano wote. Hata mataifa makubwa kama marekani, UK, na Hispania miungano yao pia kuna watu hawakubaliani nao. Lakini ili kujua ni wangapi na sababu zao pia sio kazi ndogo tu ya kutoa mlio wa kubuni kuwa watu wana shinda na muungano bila kuwa na takwimu imara kabisa ya kisayansi. Hakuna kiongozi mwenye akili timamu anaeweza kufanyia kazi hear says za mitaani.
Kuwepo kwa tanganyika kutakusaidia nini wewe kwenye majukumu yako ya kila siku? Sasa hivi unashindwa kufanya na kupata nini kwasabu hakuna Tanganyika?. Malalamiko mengine ni ya kimaalayamalaaya hivi!!