Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya

Sisi sio Rwanda huwezi fananisha nchi iliyojengwa katika misingi ya umoja, amani, mshikamano, uhuru, haki za binadamu na demokrasia na nchi waliouana wenyewe kwa wenyewe kwenye mauaji ya kimbari.

Rwanda inabidi wajifunze siasa kwetu na si vinginevyo
 
Mm sijadai Tanganyika, mm nimedai katiba mpya.

Nimedai katiba mpya kwasababu nataka amani. Ni katiba mpya ndio itatuletea amani.

Bila amani nitashindwa kufanya shughuli zangu
 
Lile genge la wahuni linalomiliki uchumi wa Tanganyika nzima na kuiba Mali kwa pupa, wako tayari kumlipa yeyote afanye mauaji popote duniani, kama Rachel Dangwa alivyouwawa Japan.

Kwa hiyo, iwe Kenya, uingereza, Marekani, Japan au popote pale, hilo genge limeamua kuuwa ili kuwanyamazisha wakosoaji
 
Hakuna watu wanaotaka Katiba mpya. Muulize mwendesha bodaboda, machinga, mkulima, mvuvi, mfugaji kama hata hii katiba ya sasa anayo, ameisoma au kuisoma na kujua wapi panafaa na na wapi panahitaji mabadiliko. Wataka katiba ni wanasiasa tu walewale. Hakuna mwananchi wa kawaida yuko tayari kukata mtu kidole kwasabu ya kudai katiba mpya.
 
Bodaboda, Wakulima, Wachungaji, Wafugaji wanataka viongozi wanaowajibika kwao sio kwa familia zao tu, wanataka haki yao ya kuchagua viongozi wanaowataka, wanataka viongozi watakaofanya kazi kuboresha maisha yao (hao viongozi wanapatikani katika mazingira ya demokrasia ya kweli)

Demokrasia hakuna kwasababu katiba ni mbovu, tunataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kishapo tufanye uchaguzi huru na haki.

Mungu akipenda Chadema iingie madarakani ifanye kazi za bodaboda, wafugaji, wakulima, wafanyabiashara, wasomi, madaktari, walimu n.k

Bodaboda, wafugaji, wakulima n.k hawataki ufisadi, hawataki undugulaizesheni, wanataka uwajibikaji

Nenda kamuulize bodaboda yoyote je ungependa kiongozi uliyemchagua wewe au aliyewekwa bila wewe kuhusishwa akuongoze.

#KatibaMpyaSasa
 
Kama ametekwa itakuwa vyema sana . Hao watu waende na kwa Hilda Newton wamdake na kumpatia mateso
Nyerere angeendekeza ushetani huu wa kuruhusu wapigania uhuru na wakosoaji wa wakoloni kutekwa na Serikali za kikoloni , pasingekuwa na Uhuru kwa Nchi za Zimbabwe ikiitwa (Rhodesia) zamani, Africa kusini, Msumbiji, Angola, nk ambao walileta wapigajia uhuru wa Nchi zao na Mwl Nyerere akawahifadhi hadi walipozikomboa Nchi zao.

Pale Kongwa kuna kambi ya wapigania uhuru, na pana handaki alilolala Samora Machel aliyekuja kuwa Rais wa Msumbiji baadae.

Nyerere angeamua kupokea ama misaada, mashirikiano, ama pesa binafsi na kuwauza waafrica wenzake.
 
Badala yake mko tayari kukata watu vichwa wanapodai Katiba mpya.


 
Hii michezo inafanyika sana huku Africa.

Rachel Dagwa hajauwawa alikua anaumwa saiv yupo online muda wote.
 
Natamani sasa mwili uokotwe. Hiyo ndio dola duniani. Mmoja aondolewe kwa manufaa ya wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…