Twaha Mwaipaya: Marais watano walikopa Trilioni 60, Rais Samia pekee amekopa Trilioni 30

Twaha Mwaipaya: Marais watano walikopa Trilioni 60, Rais Samia pekee amekopa Trilioni 30

Tr. 30 kuna kipi hasa kimefanyika lwa hiyo miaka mitatu? Maana kama ni huduma za jamii, sioni cha maana, miundombinu ni ile ile.

Hakika waliopo jikoni wanakula na kushiba.
 
Yupo sahihi maana mkopaji ni Tanganyika na mlipaji ni Tanganyika..
Uhusika wa Zanzibar Kwenye mikopo upo kwenye kuitumbua pekee
Yupo sawa.Inakopa Tanganyika halafu wanatumia pamoja na Zanzibar ila kulipa kunarudi kwa Tanganyika.Tanganyika ni kama mshumaa tu.Unajimaliza kwa kuwaangazia wengine.
Kumbe hutokea mawazo kuwa bampa to bampa/bumper to bumper?
 
Yule maneno meeengi huku hesabu anazozijua ni kujumlisha na kutoa tuu!
Daktari Bingwa wa Uchumi

Jamaa anasema kule Bungeni yeye ndiyo mbobezi wa Uchumi kuliko wengine wote maana amesoma Uchumi kuanzia Sekondari hadi Kwa levo ya Udaktari (PhD) 🙌
 
CHADEMA kwa sasa ina watu wasio na akili kabisa kuweza kujenga hoja. Trilioni 30 ya nyakati ni trilioni ngapi za enzi za mwalimu? Kwa miaka yote hiyo hakuna kushuka thamani ya pesa wala inflation? Mwaka 2001 dola ilikuwa Tsh 900 na leo hii ni 2600 na bado hujaongeza 2% ya inflation kwa mwaka. Halafu kila rais wa Tanzania huwa akiingia madarakani anapokea miradi inayoendelea huku akianzisha mingine mipya. Na katika marais wote Mama Samia kapokea miradi mikubwa inayohitaji matrilioni mengi sana. Ifike sehemu CHADEMA muache upumbavu.
 
Hii inflation haikuwepo wakati wa JPM?
 
Back
Top Bottom