CCM wanachoogopa ni kwamba,
Tanganyika(CHADEMA)+
Zanzibar(CUF)= Muungano( Magamba kupoteza ulaji.)
This guys is coward and ....... ni dhahiri zitto anafaidiaka na mfumo huu wa ccm; ni dhahiri ana mgao wa kutosha kutoka katika mfumo huu batili kabisa katika jamii yoyote duniani; zitto anatweety. Akili za aina hii sijui hatawanapataje bahati kupata hata nfasi za ubunge, zitto mtu hovyo kabisa, nilitegemea aeleze hoja then atoe uchambuzi wa kitafiti kupingana na hoja za warioba; by th way already rasmu tunayo tayari uda mrefu alitegemea wanakuja kutoa tofauti?
Zitto: "Tujidae kisakolojaia kuvunjika kwa muungano"
Serikali 3 sasa sio suala la mjadala tena. It is fait accompli. Mjadala ni namna ya kuboresha muundo huo ili Jamhuri ya Muungano idumu na iwe endelevu.
Watanzania tunalipa kwa uzembe wa kupuuzia malalamiko ya wananchi kuhusu muungano. Kama tunaamini Zanzibar walivunja katiba ya muungano kwa nini hatukupeleka shauri mahakama ya maalumu ya Katiba.
Tabia ya kufunika uchafu chini ya kapeti ndio imepelekea mlolongo wa kero za muungano. Wale wale waliokuwa na dhamana ya kutatua kero hizi Leo wanataka tubakie na mfumo wa sasa.
Tuelekeze nguvu na akili zetu kuimarisha muundo uliopo kwenye rasimu ya Katiba. Mjadala wa muundo tuufunge. Mbili na Moja hazipo kwenye mjadala tena. Tuimarishe Tatu
Kwa hiyo Zitto anapingana na makala yake moja, tena ya mwaka huu, akiunga mkono serikali 3?
Umeshambulia kwa maneno makali sana, embu soma alichosema kwa upana Face Book hapa
[h=5]
View attachment 145634Like a father like a son......Mtu huyu aweza kuzaa mwenye tofauti naye ki akili na kimtazamo kweli? DNA zingekataa , so mtoto kama baba tu..
wengine twishaga musahau!This guys is coward and kwa kweli amenikera sana, iinaonekana sasa ni shabiki wala hajui hata umhimu wa tafiti zinazofanywa; nilitegemea a comparison analysis of live and dying union government, ni dhahiri zitto anafaidiaka na mfumo huu wa ccm; ni dhahiri ana mgao wa kutosha kutoka katika mfumo huu batili kabisa katika jamii yoyote duniani; zitto anatweety. Akili za aina hii sijui hatawanapataje bahati kupata hata nfasi za ubunge, nilitegemea aeleze hoja then atoe uchambuzi wa kitafiti kupingana na hoja za warioba; by th way already rasmu tunayo tayari uda mrefu alitegemea wanakuja kutoa tofauti? Maelezo ya warioba kiukweli ni opportunity kubwa sana tena yenye suluhisho Zitto: "Tujidae kisakolojaia kuvunjika kwa muungano"
January Makamba ‏@JMakamba 10m Kilichofanyika Bungeni leo ni kuorodhesha matatizo ya ndoa (ambayo ni ya kweli) halafu kisha kusema kwamba kuongeza mke ndio jawabu lake.
Nchi MBILI serikali TATU itakuwaje?
Kiongozi nadhani hujamuelewa Zitto Kabwe, na umefanya vibaya sana kuanzisha thread ambayo inamshambulia na kuwafanya wasomaji wawe biased na kumshambulia serious. Zitto anakubaliana na hoja za Warioba siku nyingi, Zitto Kabwe ameunga mkono hoja ya serikali 3 wazi wazi, nilichoelewa kwenye tweet yake ni kwamba anaona kuwa solution ya Muungano ni serikali Tatu lakini wajumbe wengi wa bunge la Katiba hawapo tayari kuchukua solution iliyopendekezwa na Jaji Warioba. Kwa hiyo kama wajumbe wa Bunge la katiba hawatapokea na kupitisha rasimu ya katiba kama ilivyopendekezwa na Tume ya warioba maana yake Muundo wowote wa serikali/Muungano utapelekea kufa kwa Muungano. Hivyo kama tutatoka na serikali mbili kama CCM wanavyotaka au Moja kama ambavyo wachache walipendekeza Basi anachokiona Zitto Kabwe ni kuwa Muungano utavunjika, hivyo anachotuambia ni kuwa tujiandae kisaikolojia kuona Muungano unavunjika, Sasa kashfa zote anazopewa zinatokana na nini Kiongozi???? nadhani Hukuuruhusu ubongo wako ujishughurishe zaidi ya kujenga conclusion kutoka na imani zako za nyuma, SIO VIZURI HIVYO mkuu tujitahidi wakati fulani kureason in professional way