Tweets za January Makamba na Zitto kuhusu Hotuba ya Warioba

Tweets za January Makamba na Zitto kuhusu Hotuba ya Warioba

Status
Not open for further replies.
Kwani muungano hauvunjiki?

Serikali 3 zitavunja muungano na tanganyika yetu itarudi
mnakomalia muungano wenye matobo matobo wa nini?

Siku muungano ukivunjika nita fanya sherehe
Nakuunga mkono, ninatamani sana huu muungano dhaifu wa kulazimishiwa na Nyerere uvunjike then kama ni kuungana tena ipigwe kura wananchi tuamue sio watu wawili watulazimishe kuungana
Wazanzibari warangi, wadini, wakabila, wabinafsi, wachoyo, washari, wavivu
 
Anwary ni mjinga , kama a nafikiri wingi ni silaha. Ghadafi asingeondoka madarakani, kama a nafikiri namba ni kila kitu hata hii katiba was ingekuwa wanajadiliana leo......wanatumia namba kwenye ukumbi watakosa namba nje ya ukumbi....

Ukweli utabakia kuwa ukweli hata kama hatuutaki, matumaini ya kupata katiba bora yapo mikononi mwa CCM, wanachoamua wao ni vigumu sana majority ya wananchi kukipinga (rejea chaguzi za Tanzania).

Piga ua galagaza tunahitaji kupata support ya kutosha miongoni mwa wabunge wa CCM ili kupata katiba bora. Kosa lilishafanyika kuruhusu wabunge wa Bunge la Muungano na lile wa Wajumbe wa baraza la wawakilishi la Zanzibar wawe sehemu ya wajumbe wa bunge la katiba, ilipaswa kila chama cha siasa chenye usajili wa kudumu kiteue watu kadhaa kuwa wajumbe wa bunge maaalum la katiba.

Tusirudie tena kosa, lets kwa umoja wetu tuwashawishi CCM wawe after nchi badala ya itikadi
 
This guys is coward and kwa kweli amenikera sana, iinaonekana sasa ni shabiki wala hajui hata umhimu wa tafiti zinazofanywa; nilitegemea a comparison analysis of live and dying union government, ni dhahiri zitto anafaidiaka na mfumo huu wa ccm; ni dhahiri ana mgao wa kutosha kutoka katika mfumo huu batili kabisa katika jamii yoyote duniani; zitto anatweety. Akili za aina hii sijui hatawanapataje bahati kupata hata nfasi za ubunge, zitto mtu hovyo kabisa, nilitegemea aeleze hoja then atoe uchambuzi wa kitafiti kupingana na hoja za warioba; by th way already rasmu tunayo tayari uda mrefu alitegemea wanakuja kutoa tofauti?

Maelezo ya warioba kiukweli ni opportunity kubwa sana tena yenye suluhisho

Zitto: "Tujidae kisakolojaia kuvunjika kwa muungano"

Kiongozi nadhani hujamuelewa Zitto Kabwe, na umefanya vibaya sana kuanzisha thread ambayo inamshambulia na kuwafanya wasomaji wawe biased na kumshambulia serious. Zitto anakubaliana na hoja za Warioba siku nyingi, Zitto Kabwe ameunga mkono hoja ya serikali 3 wazi wazi, nilichoelewa kwenye tweet yake ni kwamba anaona kuwa solution ya Muungano ni serikali Tatu lakini wajumbe wengi wa bunge la Katiba hawapo tayari kuchukua solution iliyopendekezwa na Jaji Warioba. Kwa hiyo kama wajumbe wa Bunge la katiba hawatapokea na kupitisha rasimu ya katiba kama ilivyopendekezwa na Tume ya warioba maana yake Muundo wowote wa serikali/Muungano utapelekea kufa kwa Muungano. Hivyo kama tutatoka na serikali mbili kama CCM wanavyotaka au Moja kama ambavyo wachache walipendekeza Basi anachokiona Zitto Kabwe ni kuwa Muungano utavunjika, hivyo anachotuambia ni kuwa tujiandae kisaikolojia kuona Muungano unavunjika, Sasa kashfa zote anazopewa zinatokana na nini Kiongozi???? nadhani Hukuuruhusu ubongo wako ujishughurishe zaidi ya kujenga conclusion kutoka na imani zako za nyuma, SIO VIZURI HIVYO mkuu tujitahidi wakati fulani kureason in professional way
 
Sijaona mahali katika rasimu hii inapovunja muungano ìla rasimu imesisitiza kuwepo kwa muungano huku ukieleza namna serikali itakavyokuwa.
Yaani serikali ya Muungano, serikali ya Tanganyika na serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Au yeye January na ccm wanataka muungano gani tena?
 
CCM wanachoogopa ni kwamba,
Tanganyika(CHADEMA)+
Zanzibar(CUF)= Muungano( Magamba kupoteza ulaji.)
 
Wote mkumbuke maneno ya Warioba:

Waasisi walituachia NCHI MOJA serikali mbili sasa hivi tuna NCHI MBILI serikali mbili
hivyo hakuna kisingizio cha kuwaenzi Waasisi, hakipo walichokiacha, ni juu yetu kuona mfumo gani unafaa zaidi ya huo wa serikali mbili uliodumu 50 years! Jibu ni Serikali tatu... Karibu TANGANYIKA YETU!
 
Hivi kuna anayeweza kuniambia kwa dhati ya moyo wake madhara makubwa wanayoweza kuyapata watanzania wa kawaida kule Nanyumbu, Liwale, Mkuranga, Ulanga na kwingineko kama huu muungano utavunjika hata leo hii?? Ukiondoa wanasiasa nini hasa mtanzania huyu amefaidika nacho kwa dhahiri kabisa na huu muungano?? Kama umemsikiliza Mhe Warioba vizuri leo utabaini kwamba huo unaoitwa muungano (kwa maana ya nchi moja yenye dola mbili kama ilivyokusudiwa awali) ulishavunjika zamani mbona?? sasa uvunjike mara ngapi?? Kilichopo sasa nilivyomuelewa Warioba kwa maelezo yake ya kina ni kiini macho tu cha muungano.

Salute mkuu wangu!
Nimeandika mara kadhaa kwamba toka mwaka 1984 CCM wameshindwa kutatua kero za muungano licha ya ukweli kujulikana kwamba ni either Serikali 3 or tuvunje muungano kila taifa liendelee na ustaarabu wake.

Kwa ufupi kwa miaka 30 huu mfupa umewashinda CCM na badala ya kutumia fursa hii kurekebisha makosa ili taifa lisonge mbele kwa kujadili na kutekeleza mipango mikubwa ya maendeleo bado hawataki!

Na bahati moja nzuri ni kwamba mtu ambaye alikua AG na baadaye Waziri wa Sheria wakati mengi ambayo yamesababisha kero yakipitishwa ndiye huyu ameongoza Tume ambayo inatuelekeza njia nzuri ya kufuata! Ajabu hata wale waliokuwa porini kule Simanjiro wanajidai wanaujua na wana uchungu kuliko wale walio uanzisha!
 
Nyerere hakua na uwezo wa kuchanganua mambo...matatizo haya yote tumeyapata kutokana na ukaidi na UNAZI wa Nyerere
 
Wote mkumbuke maneno ya Warioba:

y
Waasisi walituachia NCHI MOJA serikali mbili sasa hivi tuna NCHI MBILI serikali mbili
hivyo hakuna kisingizio cha kuwaenzi Waasisi, hakipo walichokiacha, ni juu yetu kuona mfumo gani unafaa zaidi ya huo wa serikali mbili uliodumu 50 years! Jibu ni Serikali tatu... Karibu TANGANYIKA YETU!

Hawa jamaa wa CCM walivyo wanafiki ukikutana nao mtaani na mitumbo yao mikubwa wanadai wanalazimishwa na viongozi wao!!
 
Makamba aanawakilisha mawazo ya wapiga kura wa Bumbuli
 
Warioba amewawakilisha vyema Rasimu......Kudos Baba!
But......Haimaanishi alichowakilisha kisiangaliwe kwa jicho lingine na wala haimaanishi ametoa majibu sahihi.......Kumshambulia mtu mwenye mawazo tofauti ni ufinyu wa mawazo.
Nimeona thread ya kusuggest JSW awe rais.,kwa presentation ya leo.....Seriously??The man is all that now?.....Mi nadhani Mzee Warioba amewakilisha rasimu ili ijadiliwe na si kuanza kuhema juu na Mahaba na kurusha jiwe kwa kila atoaye maoni tofauti.......
 
Ukweli utabakia kuwa ukweli hata kama hatuutaki, matumaini ya kupata katiba bora yapo mikononi mwa CCM, wanachoamua wao ni vigumu sana majority ya wananchi kukipinga (rejea chaguzi za Tanzania).

Piga ua galagaza tunahitaji kupata support ya kutosha miongoni mwa wabunge wa CCM ili kupata katiba bora. Kosa lilishafanyika kuruhusu wabunge wa Bunge la Muungano na lile wa Wajumbe wa baraza la wawakilishi la Zanzibar wawe sehemu ya wajumbe wa bunge la katiba, ilipaswa kila chama cha siasa chenye usajili wa kudumu kiteue watu kadhaa kuwa wajumbe wa bunge maaalum la katiba.

Tusirudie tena kosa, lets kwa umoja wetu tuwashawishi CCM wawe after nchi badala ya itikadi

Yeah you are right....
 
Wote mkumbuke maneno ya Warioba:

Waasisi walituachia NCHI MOJA serikali mbili sasa hivi tuna NCHI MBILI serikali mbili
hivyo hakuna kisingizio cha kuwaenzi Waasisi, hakipo walichokiacha, ni juu yetu kuona mfumo gani unafaa zaidi ya huo wa serikali mbili uliodumu 50 years! Jibu ni Serikali tatu... Karibu TANGANYIKA YETU!
Nchi MBILI serikali TATU itakuwaje?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom