Twendeni msibani Monduli - Arusha: zaidi ya ng'ombe 100 watachinjwa na kuliwa nyama kwenye msiba wa Laigwananani Edward Ngoyai Lowassa

Uzima Tele

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2023
Posts
1,270
Reaction score
2,822
Your browser is not able to display this video.
Hii ni kali kwelikweli, sijawahi ona ng'ombe wengi kiasi hiki (zaidi ya 100) kwenye msiba mmoja na wenye afya kama hawa wakichinjwa kuliwa nyama msibani..

Bila shaka Arusha, Manyara na Kilimanjaro yote inahamia Monduli kwenda kula nyama na kumwaga Mzee Edward Ngoyai Lowassa...
 
Nyama tunakula kila siku.
 
Nyama najinunulia karibu kila siku
 
Kwa Mh. Lowasa ilikuwa kawaida kila mwaka kuchinja ng'ombe na kualika mamia ya wananchi...!
 
Nani akale vibudu huko wakati nyama tunakula deile hadi tunaugua gout
 
Wanachinja wao au sie...
Alisikika muumini mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…