Twendeni msibani Monduli - Arusha: zaidi ya ng'ombe 100 watachinjwa na kuliwa nyama kwenye msiba wa Laigwananani Edward Ngoyai Lowassa

Twendeni msibani Monduli - Arusha: zaidi ya ng'ombe 100 watachinjwa na kuliwa nyama kwenye msiba wa Laigwananani Edward Ngoyai Lowassa

Kuna
Msiba huu ambao waombolezaji wanakung'utwa makonde kwa kujipanga barabarani kuaga? Kwenye majungu ya minofu si watafanyiwa zaidi ya ilo?😂😂😂mzikane tu!
Kuwa na akili basi kidogo, waombolezaji gani walikung'utwa makonde? Kulikuwa na maelfu ya waombolezaji wewe uliona yule mlevi mwenzako mmoja kama vile wako wengi baada ya kuadabushwa?
 
Kuna
Kuwa na akili basi kidogo, waombolezaji gani walikung'utwa makonde? Kulikuwa na maelfu ya waombolezaji wewe uliona yule mlevi mwenzako mmoja kama vile wako wengi baada ya kuadabushwa?
Nilizo nazo zinanitosha ndugu. Wala sikuwa na shida ya kuwaona wengi,huyo niliyemuona anatosha kabisa. Hata mchele ujae ungo,uwa tunaona uchafu maana haupaswi kuwa humo.
 
Hii ni kali kwelikweli, sijawahi ona ng'ombe wengi kiasi hiki (zaidi ya 100) kwenye msiba mmoja na wenye afya kama hawa wakichinjwa kuliwa nyama msibani..

Bila shaka Arusha, Manyara na Kilimanjaro yote inahamia Monduli kwenda kula nyama na kumwaga Mzee Edward Ngoyai Lowassa...
Wangechinja ngiri 100 au ngamia 100 siyo ng’ombe imejaa buchani kila mtaa.
 
Back
Top Bottom