Twendeni msibani Monduli - Arusha: zaidi ya ng'ombe 100 watachinjwa na kuliwa nyama kwenye msiba wa Laigwananani Edward Ngoyai Lowassa

Arusha hii Kuna mtu mwenye shida ya nyama kweli?
 
Watz akili hatuna kabisa ilitakiwa msiudhurie huko msibani , Ili kushinikiza aliyempiga mtu ngumi achukuliwe hatua hata kulipa faini.
 
Mpaka akili zikae sawa tuna safari ndefu kuliweka taifa kwenye ramani ya dunia
 
Umasikini ni kitu kibaya sana....kama katika maisha yako chakula ni kitu kinakusumbua Sana kupata au ukiona unaenda kwenye sherehe etc ili ule basi jitathimini sana kimaisha. Yaan hapo unaweza nunuliwa kwa ajili ya chakula..
 
Ni maombolezo ya mpendwa wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…