gemseeker23
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 354
- 246
hakuna mtu atashangaa maana sehemu ulizotaja arusha moshi manyara kwakweli nyama ni kama jadi nenda kwa morombo na kisongo ukaone watu wanavyokula nyamaHii ni kali kwelikweli, sijawahi ona ng'ombe wengi kiasi hiki (zaidi ya 100) kwenye msiba mmoja na wenye afya kama hawa wakichinjwa kuliwa nyama msibani..
Bila shaka Arusha, Manyara na Kilimanjaro yote inahamia Monduli kwenda kula nyama na kumwaga Mzee Edward Ngoyai Lowassa...
Zongo?Acha ulaku wewe utapigwa zongo kwa kuendekeza tumbo.
NdoigeHujamuona yule aliyetandikwa ngumi, sasa wewe peleka hilo komwe lako!
Eeh, unafuata nyama. Hata hivyo si tunaenda kuzika pia, au?Yaan nauli from dsm to Arusha zaidi ya 40'000 plus kurudi ili kufata nyama??
R.i.p Lowassa
Ungewahi jana magari Bureeee mpaka Monduli na ungerudishwa Dsm.Yaan nauli from dsm to Arusha zaidi ya 40'000 plus kurudi ili kufata nyama??
R.i.p Lowassa
Msibani huwa tunakwenda kufariji, kumzika marehemu, na baada ya hapo tunakula nyama na misosi mingine...Kama wangesema kila atayefika atapewa ngo'mbe wake mmoja, tungesafiri
Alijikuta mjanja , akakutana wajanja wa Pwani.Kawaida sana hizo vitu Arusha.
Angeshinda Urais kuna sherehe kubwa ilikuwa imeandaliwa pale monduli ila alikutana na K.O moja matata
Ndugu sportstore shida yako ni nini kwani?Umasikini ni kitu kibaya sana....kama katika maisha yako chakula ni kitu kinakusumbua Sana kupata au ukiona unaenda kwenye sherehe etc ili ule basi jitathimini sana kimaisha. Yaan hapo unaweza nunuliwa kwa ajili ya chakula..
Sio mbaya tutapozwa kwa nyama.Nyie jipendekezeni tu, mwenzenu mmoja kapigwa "left hook" moja matata sana na bwana askari kanzu.
[emoji23]
Mkae kwa kutulia msije pigwa ngumi ya mwendo kasi hahahaHii ni kali kwelikweli, sijawahi ona ng'ombe wengi kiasi hiki (zaidi ya 100) kwenye msiba mmoja na wenye afya kama hawa wakichinjwa kuliwa nyama msibani..
Bila shaka Arusha, Manyara na Kilimanjaro yote inahamia Monduli kwenda kula nyama na kumwaga Mzee Edward Ngoyai Lowassa...
Aisee! Twende kisa kuna Ng'ombe 100 wanachinjwa? Anayekwenda kwenye msiba aende kwa lengo la msiba na kwasababu kuna nyamaHii ni kali kwelikweli, sijawahi ona ng'ombe wengi kiasi hiki (zaidi ya 100) kwenye msiba mmoja na wenye afya kama hawa wakichinjwa kuliwa nyama msibani..
Bila shaka Arusha, Manyara na Kilimanjaro yote inahamia Monduli kwenda kula nyama na kumwaga Mzee Edward Ngoyai Lowassa...
🤣 unakua serious sana, hoja iliyotolewa kuna ngo'mbe kama 100 watachinjwa, so watu wa mikoa jirani watamiminikaMsibani huwa tunakwenda kufariji, kumzika marehemu, na baada ya hapo tunakula nyama na misosi mingine...
Msibani huwa hutuendi kugawiwa ng'ombe au bia au soda ili uende nazo nyumbani kwako jombaa!!
Kawaida sana hizo vitu Arusha.
Angeshinda Urais kuna sherehe kubwa ilikuwa imeandaliwa pale monduli ila alikutana na K.O moja matata
Wamechinjwa na nani isije ikaleta taharuki tena kama miaka fulani hapo nyumaHii ni kali kwelikweli, sijawahi ona ng'ombe wengi kiasi hiki (zaidi ya 100) kwenye msiba mmoja na wenye afya kama hawa wakichinjwa kuliwa nyama msibani..
Bila shaka Arusha, Manyara na Kilimanjaro yote inahamia Monduli kwenda kula nyama na kumwaga Mzee Edward Ngoyai Lowassa...