Twendeni Msikitini, maombi yetu ni muhimu sana kwa Taifa

Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh, naomba mualiko wa Biriyani baada ya mshuko wa Ijumaa, kanzu yangu nyeupe inaning'inia pale juu inasubiri simu moja tu, lol
Biriyani lipo nyumbani, karibu sana kipenzi๐Ÿค—
 
Hii post yako ingependeza pia kuyaombea mataifa ya kiislamu changamoto wanazopitia kutoka kwa makafiri, hususan ndugu zetu wapalestina, ila umetaja taifa lako bila kuwataja na kuwaombea ndugu zetu wana gaza na palestina kwa ujumla+mataifa ya kiislamu.

ุงู„ู„ู‡ู… ุงู†ุตุฑ ุงุฎูˆุงู†ู†ุง ุงู„ู…ุณู„ู…ูŠู† ููŠ ูู„ุณุทูŠู†
 
Nimewaombea Wamatumbi wenzangu, tunaoelewana lugha, wapalestina wananijua mimi? angalau hata ungesema ndugu zetu wa Congo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ