Twendeni Msikitini, maombi yetu ni muhimu sana kwa Taifa

Ukishaona haja ya kuomba, hapo kimsingi umekubali Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, usingeona haja ya kuomba.
 
Ukishaona haja ya kuomba, hapo kimsingi umekubali Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, usingeona haja ya kuomba.
Oooonho Intelligent businessman we ndo umemuita nduguyo, usiniachie huu msala peke yangu,

Mkuu Kiranga sisi agnostic unatupiga spana gani?
 
Kwa ufupi unataka kusema sisi agnostic na wafuasi wa Mwampopo tofauti yetu ni mafuta tu, dah 😭
Nyie na wafuasi wa Mwamposa, wafuasi wa Mwqmposa ni afadhali kwa sababu wao wamechagua upande, nyie mnatapatapa hamjui mko upande gani.

Wao hata kama wako wrong, tunajua wako wrong kwa sababu wako clear wamesimama wapi.

You, on the other hand, are not even wrong.

You are less than wrong.

You are not decided.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…