Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
- Thread starter
-
- #161
Itabidi leo usiku niitishe kikao na Agnostics wenzangu tukujadili, hii ni zaidi ya spana,Nyie na wafuasi wa Mwamposa, wafuasi wa Mwqmposa ni afadhali kwa sababu wao wamechagua upande, nyie mnatapatapa hamjui mko upande gani.
Wao hata kama wako wrong, tunajua wako wrong kwa sababu wakp clear wamesimama wapi.
You, on the other hand, are not even wrong.
You are less than wrong.
You are not decided.
Kumbe nawe wewe ni fan wa kufatilia casting listYes najua, mtoto wa Dracula ni Selena Gomez, Dracula mwenyewe ni Adam Sandler
Champ "who said that, i ask who said that, come hear pumpkin" π πMigration (hii inaongoza kwa kurudiwa kuangalia hua nacheka sana)
Sanaaaaaa, hua napenda kujua nani ametupa burudani fulaniKumbe nawe wewe ni fan wa kufatilia casting list
Kwenye list ya top 10, si nika isahau WednesdaySanaaaaaa, hua napenda kujua nani ametupa burudani fulani
Sauti yake kavu inavutia, hua nacheka pale wanapovuka barabara anawaambia wenzie "just stay close to me and everything will be alright" halafu anagongwa π€£π€£π€£ inachekesha MigrationChamp "who said that, i ask who said that, come hear pumpkin" π π
Ila Akwafina anapendaza sana kuingiza sauti za animation
Ni animation?, nikajua animation yake ni hiyo Adams FamilyKwenye list ya top 10, si nika isahau Wednesday
Na kale ka gwen ni kambea kweli πSauti yake kavu inavutia, hua nacheka pale wanapovuka barabara anawaambia wenzie "just stay close to me and everything will be alright" halafu anagongwa π€£π€£π€£ inachekesha Migration
Sahihi, nili taka kutaja season 2Ni animation?, nikajua animation yake ni hiyo Adams Family
"can we land?"Na kale ka gwen ni kambea kweli π
Pale mwanzo kipindi wanakutana na wale migration bird yule kaka yake aliongea na ndege wa kike"can we land?"
"you're old enough to do it on the sky"
"But it gross"
"Every Bird does it on the Sky"
"What if someone is looking down there"
Ikabidi tu washuke kwa hasira π€£π€£π€£
Unamkumbuka Fester Fiesta π π
Girls like you π₯ππ"can we land?"
"you're old enough to do it on the sky"
"But it gross"
"Every Bird does it on the Sky"
"What if someone is looking down there"
Ikabidi tu washuke kwa hasira π€£π€£π€£
Mjomba ni mama, ana washa taa bila umeme π πUnamkumbuka Fester Fiesta π π
nilipata hahah!Uliiipata?
It's funny how some distance makes, everything seem small,Binti Dr. Mariposa uko macho!
Let it go, let it go
Can't hold it back anymore
Let it go, let it go
Turn away and slam the door
I don't care what they're going to say
Let the storm rage on
The cold never bothered me anyway
Km una imani hii ni kweli huna tofauti na mfuasi wa MwamposaKwa ufupi unataka kusema sisi agnostic na wafuasi wa Mwampopo tofauti yetu ni mafuta tu, dah π
Unaelewa nini kuhusu AgnosticismKm una imani hii ni kweli huna tofauti na mfuasi wa Mwamposa
Kwa uelewa wangu ni kuamini kuwa Mungu yupo au inawezekana hayupo kwa kukosa uhakika na hii inakuja kwa kujisemea kuwa hujathibitisha kuhusu uwepo wakeUnaelewa nini kuhusu Agnostic?