Twitter kutoka kuwa mtandao wenye heshima mpaka kuwa mtandao wa ngono

Page za porn haziwezi kukutokea km hupendi kuangalia hayo madude...kuna algorithms zinazofuatialia things u like mitandaoni, from there zinaaanza kukuletea suggestion ya vitu inahisi you might like, based on your online activities.
Hii ni kweli, lakini Twitter imepunguza sana moderation, hususan baada ya Elon Musk kuinunua. Kafukuza kazi watu wengi sana, wakiamo content moderators wengi, halafu ana falsafa za uhuru sana, free speech inayoruhusu mambo mengi ambayo wengine wangeona yachujwe.

Kwa hiyo inawezekana wote wawili, wewe na mtoa maada, mkawa mnasema kweli.

There is no contradiction.

1. Kwenye Twitter unapelekwa kwenye vitu unavyoangalia, kwa algorithm.

2. Moderation ya Twitter imepungua sanana kuongeza vitu kama porn, kwa sababu watu wengi waliokuwa wanafanya moderation wamefukuzwa kazi na Elon Musk, na Elon Musk ni muumini wa free speech, kwa hivyo, porn kuongezeka inafanya hata wale ambao hawakufuatilia wanaona na algorithm inawapeleka huko zaidi.

3.You and the original poster have no contradiction, the two things you are stating are not mutually exclusive.

Mimi hata sikai sana Twitter, lakini network ya Watanzania inanionesha tweets za "watoto wameshalala saa hizi" na ujinga mwingine kama huo.
 
Page za porn haziwezi kukutokea km hupendi kuangalia hayo madude...kuna algorithms zinazofuatialia things u like mitandaoni, from there zinaaanza kukuletea suggestion ya vitu inahisi you might like, based on your online activities.

Nitapingana na ww kwenye hili, hizi algorithm huwa zileta hizo pages when uki follow watu flani ambao wame follow hizo page.
Binafsi i had to block hizo pages
 

Wana hiyo settings ambayo ina ku restrict kuona picha chafu
 
Acha ushamba kama wewe hupendi ngono nenda kwenye mitandao ya mahubiri Twitter waachie wapenda ngono unang'ang'ania ya nini unakera sana
 
"ilitumiwa mostly with proffecionals, jonals" DUH HAYA BWANA
 
"...nitawapambia vitendo vyao (vibovu wavione vizuri)
"...nitawapoteza wote wasifuate hiyo njia ya haki isipokuwa waja wako waliosafika kwelikweli"

hakuna mziki wa heshima, hakuna ngoma ya heshima hakuna dhambi ya heshima ila ni shetani katika kukulia timing anakupambia uione kama kitu kizuri mwanzoni kisha baada ya muda anakupeleka sasa kule alikokuwa amekusudia

MAANDIKO HAYAENDAGI PATUPU
 
Nimekusoma mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…