Twitter kutoka kuwa mtandao wenye heshima mpaka kuwa mtandao wa ngono

Twitter kutoka kuwa mtandao wenye heshima mpaka kuwa mtandao wa ngono

Page za porn haziwezi kukutokea km hupendi kuangalia hayo madude...kuna algorithms zinazofuatialia things u like mitandaoni, from there zinaaanza kukuletea suggestion ya vitu inahisi you might like, based on your online activities.
No haipo hivyo

Ni kwamba huyo anapokea hizo feeds kutokana na miongoni mwa followers wake wapo walio like hizo pages.

Hivyo zina display kwake kama suggestions tu kutokana na hao rafiki zake ambao wame follow hizo lages au ku like.

Na hili limewekwa kama default yani ili usiendelee kuziona hizo tweets ni lazima uende upya kwenye setting, notifications, advanced filters, and mute receiving notification from people you don't follow.

Hapo ndio atakuwa ame fix
 
Binafsi nilijiunga Twitter 2009, kipindi hicho ni mwendo wa internet cafe tu. Kati ya social media platform zilizoanzishwa miaka hiyo basi Twitter ilikuwa tulivu na ilitumiwa mostly with proffecionals, jonals na baadhi ya watu tunaojielewa kiufupi ilikuwa na hoja nyingi za msingi kama ilivyo JF. Binafsi nilikuwa naikubali sana Twitter kwa information za ukweli na kuaminika.

Upepo umechange sana maana sasa hivi imekuwa na uchafu usiovumilika, koneksheni zimekuwa nyingi huko Twitter mpaka kero. Sijui inakuwa vipi Twitter inakosa restrictions katika suala hilo. Binafsi naona ni agenda za uchuro zinazoendelea kupitia Twitter maana kuna utofauti gani kati ya porn sites na Twitter sasa?

Binafsi sijafollow page za kijinga lakini zinadisplay sana kwenye Twitter yangu. Ninaipenda sana Twitter, siwezi iacha, ila hii issue kiukweli inanidhoofisha sana.

Sijui nyie wadau huko Twitter mnapaonaje? Mbona other social media haziruhusu post zenye maudhui ya ngono moja kwa moja? Je, ni ujio wa Elon Musk ndio umeleta haya mabadiliko? Je, ni dunia ndio ilikofika? Wadau mnalionaje hili?
Ulio wa follow ndo wadau wa porn. Sie wengine Hatuoni hizo pages
 
Page za porn haziwezi kukutokea km hupendi kuangalia hayo madude...kuna algorithms zinazofuatialia things u like mitandaoni, from there zinaaanza kukuletea suggestion ya vitu inahisi you might like, based on your online activities.
nimecheka kichizi, umepiga panapouma
 
Hizo videos wala hazi onekani ni hadi utake mwenyewe kushow ,Huoni kama ni kiherehere chako tu kuzifungua
1005083360.jpg
 
Hayo mambo ya akili ulikuwa hutushirikishi, ila haya ya porn ndio umeona yanafaa kutushirikisha?
Mara nyingi watu wanaoendesha kampeni dhidi ya jambo fulani ndio hulipa umaarufu jambo hilo hasa oale ambapo hawana uwezo wa kulizuia/kulibadilisha.

Mfano mimi hata sikuwa nalijua jina la "Cynacute" sasa nimeliona.
 
Hata muziki wa Tanzania ulikuwa na heshima waimbaji waliimba nyimbo zenye mafundisho mengi sana enzi zile za kina marijan Rajab, Bichuka, Ngurumo na wengi wengineo.

Leo sasa mweeeh nyimbo zinahusu kunyanduana tu 😂, mara ooooh kalowa, hujakaa sawa mdundiko unakuja na ifinyie ndani 😂😂

Ngono haipo Twitter tu bwashee ipo kila mtandao, kama huamini basi fatilia uzi wa kula tunda kimasihara bila shaka utaacha kulalamika hapa.
Sawa boss lakini twitter imezidi kiufupi haina restriction yyte kwenye content..mfano instagram huwezi post porn video.
 
Yupo sahihi ukiwa unangalia mpira zinakuja za mpira tu ukiwa mtu wa kuchek matako yanakuja matako
Sio kweli kaka mm ni mdau wa mpira sana lakn porno tena za uchafu lazima zitanitembelea tu na daily na block ujinga kama huo lkn hazikomi
 
Back
Top Bottom