Twitter kutoka kuwa mtandao wenye heshima mpaka kuwa mtandao wa ngono

Twitter kutoka kuwa mtandao wenye heshima mpaka kuwa mtandao wa ngono

Kuna Namna ya kuweka setting simu yako isiweze kuonyesha video za ngono kabisa, watalaam wa kujua naiman watatujuza zaid ili tuitumie iweze kutusaidia
 
Ukiachana na hii hoja ya mtoa mada, Kuna ile unasoma comments unakuta raia zimepost ngono humo kwenye comments, mara wanatangazA malaya, wanauza papa and etc. Hii inakera ofcoz nahis Twitter wangeweka hizi limitations ingesaidia sana.
Wengine tumeacha kuchek pono kwa nguvu yani Kublock adult sites, kufuta telegram, Instagram, WhatsApp groups, and other sources tukabaki na twitter, naona mda wa ku uninstall Twitter umefika pia
Kaka bora umenisaidia maana kuleta hoja hii nimeonekana kana kwamba mm nI mfuatiliaji wa minyanduano videoz..bro juzijuzi nascrow comments kwenye page ya sports nakutana na mzigo unaliwa tako nusu nitapike
 
Mbona ukizungumzia ubaguzi wa rangi au ubaguzi wa upinde content haiendi mpaka uweke mambo sawa.?
Twitter ni platform, twitter hawana contents, but the people who uses Twitter, malengo ya Twitter ni kuweka platform ya watu kuzungumza kwa uhuru, hwawajibiki nini watu wanataka kuzungumza
 
Ni kweli, ila unaweza kiset, kuona post za watu ulio wafollow tu.. hutoweza kuona mambo mengine,

Labda kama umewafollow, kina "shetani, miss connection, cyntcute.. mboga saba, wali nyama, na wengineo.."" hizo video utaziona tu
Unaset vipi mzee maana kuna tweets for you na following. Hizi tweets for you hazichagui maudhui bob kina cynacute watakuja tu hatakama hujawafollow as long as wanatrend
 
Hii ni kweli, lakini Twitter imepunguza sana moderation, hususan baada ya Elon Musk kuinunua. Kafukuza kazi watu wengi sana, wakiamo content moderators wengi, halafu ana falsafa za uhuru sana, free speech inayoruhusu mambo mengi ambayo wengine wangeona yachujwe.

Kwa hiyo inawezekana wote wawili, wewe na mtoa maada, mkawa mnasema kweli.

There is no contradiction.

1. Kwenye Twitter unapelekwa kwenye vitu unavyoangalia, kwa algorithm.

2. Moderation ya Twitter imepungua sanana kuongeza vitu kama porn, kwa sababu watu wengi waliokuwa wanafanya moderation wamefukuzwa kazi na Elon Musk, na Elon Musk ni muumini wa free speech, kwa hivyo, porn kuongezeka inafanya hata wale ambao hawakufuatilia wanaona na algorithm inawapeleka huko zaidi.

3.You and the original poster have no contradiction, the two things you are stating are not mutually exclusive.

Mimi hata sikai sana Twitter, lakini network ya Watanzania inanionesha tweets za "watoto wameshalala saa hizi" na ujinga mwingine kama huo.
Umeongea point sana mkuu..binafsi siangalii porno nina miaka kama 4 hivi. Lkn maudhui hayo bado yanajirudiarudia
 
KaoNgo wewe
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
mbna mie niko twitter na sipati hayo mambo ya ajabu

Ni kweli! Ingia zile pages incognito! Na usi-accept cookies!
Mimi sio IT bwana hata sikuelewi
 
Si kweli. Labda kwenye sites zingine. Twitter hata kama huna interest ya porn zinakuja tu.
Umenena bob..maana kuna mapastor humu hayataki kusema ukweli mikuno haikwepeki Twitter
 
Back
Top Bottom