Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafananisha Jf ya wabongo na Tweeter ya wazungu.hebu amka kumekucha.Hata hapa JF sisi watumiaji ndio tunatengeza contents, mbona hatuoni video za ngono ukilinganisha na twitter?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata muziki wa Tanzania ulikuwa na heshima waimbaji waliimba nyimbo zenye mafundisho mengi sana enzi zile za kina marijan Rajab, Bichuka, Ngurumo na wengi wengineo.
Leo sasa mweeeh nyimbo zinahusu kunyanduana tu [emoji23], mara ooooh kalowa, hujakaa sawa mdundiko unakuja na ifinyie ndani [emoji23][emoji23]
Ngono haipo Twitter tu bwashee ipo kila mtandao, kama huamini basi fatilia uzi wa kula tunda kimasihara bila shaka utaacha kulalamika hapa.
Exactly mkuu.Page za porn haziwezi kukutokea km hupendi kuangalia hayo madude...kuna algorithms zinazofuatialia things u like mitandaoni, from there zinaaanza kukuletea suggestion ya vitu inahisi you might like, based on your online activities.
Ilivogoma nikafuta labda nidownload upyaBasi jaribu tena utaupenda
Anajiita cyanKuna yule mjinga na uzi wake "watoto wameshalala thread" mpaka nimemtia block kwa upumbavu wake
Ooh sawa nitajaribuKama ni mpenzi wa jf basi utaipenda sana twitter
Ni kweli kabsaa na pia ukifuatilia accounts flani, unaletewa suggestion za accounts zenye maudhui sawa na hayoPage za porn haziwezi kukutokea km hupendi kuangalia hayo madude...kuna algorithms zinazofuatialia things u like mitandaoni, from there zinaaanza kukuletea suggestion ya vitu inahisi you might like, based on your online activities.
Shida yangu sio mdau nashangaa kuona mtu analazimisha mtandao uwe kama anavyotaka yeye kama vipi atengeneze wake na kama yeye ni mlokole aende kwenye mitandao ya mahubiriUtakuwa mdau sorry mzee
Acha Uongo ellon kaichukua twitter mwaka jana 2022 ila mm porno twitter tangia 2019 nachekia uko porno. Ellon hausiki ata na kuruhusu ilo bhana ni kwmaba saiv ndo wabongo mnashtukia izo porno twitter ila zilikuepo kitamboHii ni kweli, lakini Twitter imepunguza sana moderation, hususan baada ya Elon Musk kuinunua. Kafukuza kazi watu wengi sana, wakiamo content moderators wengi, halafu ana falsafa za uhuru sana, free speech inayoruhusu mambo mengi ambayo wengine wangeona yachujwe.
Kwa hiyo inawezekana wote wawili, wewe na mtoa maada, mkawa mnasema kweli.
There is no contradiction.
1. Kwenye Twitter unapelekwa kwenye vitu unavyoangalia, kwa algorithm.
2. Moderation ya Twitter imepungua sanana kuongeza vitu kama porn, kwa sababu watu wengi waliokuwa wanafanya moderation wamefukuzwa kazi na Elon Musk, na Elon Musk ni muumini wa free speech, kwa hivyo, porn kuongezeka inafanya hata wale ambao hawakufuatilia wanaona na algorithm inawapeleka huko zaidi.
3.You and the original poster have no contradiction, the two things you are stating are not mutually exclusive.
Mimi hata sikai sana Twitter, lakini network ya Watanzania inanionesha tweets za "watoto wameshalala saa hizi" na ujinga mwingine kama huo.
Yes kama ameona twitter haimfai aondoke aache malalamiko uchuro. The twiiter hawawez kuletea post za watu ambao hujawafollow. Kampan yako unayoifollow ndo iradetermine uletewe nini kwenye homepage yakoShida yangu sio mdau nashangaa kuona mtu analazimisha mtandao uwe kama anavyotaka yeye kama vipi atengeneze wake na kama yeye ni mlokole aende kwenye mitandao ya mahubiri
Kama haimfai yeye angeondoka tu hiyo ndo busara.Yes kama ameona twitter haimfai aondoke aache malalamiko uchuro. The twiiter hawawez kuletea post za watu ambao hujawafollow. Kampan yako unayoifollow ndo iradetermine uletewe nini kwenye homepage yako
Cyancute huyo. HahahaaaaKuna yule mjinga na uzi wake "watoto wameshalala thread" mpaka nimemtia block kwa upumbavu wake
Mtu yeyote anayeanza kwa lugha dismissive ya "acha uongo" bila ya kujiridhisha kwamba mimi ni muongo namuona hana intellectual matureness ya kufanya majadiliano nami.Acha Uongo ellon kaichukua twitter mwaka jana 2022 ila mm porno twitter tangia 2019 nachekia uko porno. Ellon hausiki ata na kuruhusu ilo bhana ni kwmaba saiv ndo wabongo mnashtukia izo porno twitter ila zilikuepo kitambo
Hayuko peke yake wapo wengi tu wa namna hii dawa yao ni tofali tu [emoji23]Kuna yule mjinga na uzi wake "watoto wameshalala thread" mpaka nimemtia block kwa upumbavu wake
Sasa ulikushindaje na hujawahi kuutumia?Huu mtandao ulishanishinda sijawah hata kuutumia
Nikweli ila kuna hii sasa ivi unakutana na video kwenye commentPage za porn haziwezi kukutokea km hupendi kuangalia hayo madude...kuna algorithms zinazofuatialia things u like mitandaoni, from there zinaaanza kukuletea suggestion ya vitu inahisi you might like, based on your online activities.