Twitter kutoka kuwa mtandao wenye heshima mpaka kuwa mtandao wa ngono

Twitter kutoka kuwa mtandao wenye heshima mpaka kuwa mtandao wa ngono

Page za porn haziwezi kukutokea km hupendi kuangalia hayo madude...kuna algorithms zinazofuatialia things u like mitandaoni, from there zinaaanza kukuletea suggestion ya vitu inahisi you might like, based on your online activities.
Ina uwezo wa kujua hata makabila ya wadada unaowapenda, yaani tweeter bwana mmmh mimi siiwezi kwa ujanja tuuu!!
 
huyu jamaa muongo sana twitter imeanza kupa wapenzi miaka 2013 baada ya mapinduzi ya android zaidi ya hapo alikuwa ana twitt na nani tz hii
 
Back
Top Bottom