Mtu yeyote anayeanza kwa lugha dismissive ya "acha uongo" bila ya kujiridhisha kwamba mimi ni muongo namuona hana intellectual matureness ya kufanya majadiliano nami.
Hilo neno la uongo ni zito sana kulitoa kirahisi hivyo kwa mtu yeyote asiye simpleton, you sound like a simpleton.
Unafanya logical non sequitur kufanya conclusion kwamba mimi kusema kwamba porn imeongezeka baada ya Elon Musk kununua Twitter kwa sababu ana falsafa za uhuru wa kujieleza zaidi na kapunguza moderators maana yake ni kwamba hakukuwa na porn kabla ya Elon Musk kununua Twitter, that is a logical non sequitur.
Unaelewa hilo?
Inawezekana wewe unayeitafuta porn mwenyewe umeiona tangu 2019, lakini wengine wasioitafuta porn wameanza kuiona porn 2022 kwa sababu ya moderaton kupungua, Elon Musk kuwa na falsafa ya uhuru zaidi na hata mpango wa ku monetize porn on Twitter na new features kama statuses.
Unajuaje mimi ni muongo na si kwamba sijapata habari muhimu tu kama za timeline?
Ni uongo kwamba Elon Musk kapunguza content moderators?
Ni uongo kwamba Elon Musk ana falsafa za kuruhusu watu kujinafasi sana kwa uhuru, kitu ambacho si ajabu kinaongeza porn?
Hawa watu wa Vice wameandika article ya new features za hivi karibuni zinavyoongeza porn, na wao ni waongo?
That’s just the way it is.
www.vice.com