Labda ICC ya International Cricket ConfederationTuna zidi kukusanya ushahidi wa kwenda ICC
Acha kushangilia maumivu ya wengi. Kitendo hiki kinatuumiza sana sisi wafanyabiashara kwa njia ya mitandao. You deserve to be called a sadist.CHADEMA walikuwa wamejiandaa kwa disinformation ili kuleta taharuki na machafuko, vyombo vya usalama vimeona isiwe tabu, mtu anawekwa kibra kimya kimya sasa hivi hadi j2 au j3 social media ikirudi kazi imeisha.
Hii ndio nini?!
Acha ujinga wewe, yakitokea machafuko hautakuwa tena na hiyo biashara.Acha kushangilia maumivu ya wengi. Kitendo hiki kinatuumiza sana sisi wafanyabiashara kwa njia ya mitandao. You deserve to be called a sadist.
Leo ndo mmeanza kuogopa keyboard warriors? Si mlikuwa mnatutukana?Uchaguzi ni tukio mhimu Sana katika kulinda au kuvuruga amani ya nchi
Hivyo Basi ni jukumu la serikali kuhakikisha Taifa linakuwa salama wakati huu wa uchaguzi. Na kwa Dunia Hii ya leo Internet ndio sehemu ya kuangalia zaidi kuliko hata huku kwenye maisha ya kawaida.
matusi ya nini sasa, nani amtukuna huyo anayetaka Sugu amsugue? hasira za kunyimwa buku 7 unaniletea miye pambana na hali dada miaka mitano ya njaa inaendelea jipange kungali bado kuna siku chacheWewe pimbi nyamaza, ni lijinga sana, mnapenda kututukania rais wetu, ngoja tuwatose then tuwakomoe wapumbavu nyie mtahama nchi, ni hasara kuwa na watu ka ninyi ktk taifa
Ila kwa kazi za JPM, haya hayakuitajika kabisa. Wanaua sisimizi kwa nyundo bila sababu. Kwa Zanzibar nisingeshangaa ila sio bara.
Hiyo dunia ikuingilie wewe na mkeo,Kilichofanyika ni shambulizi dhidi ya uhuru na hali za watanzania, natamani dunia iingilie kati
mnawaza Siasa tuCHADEMA walikuwa wamejiandaa kwa disinformation ili kuleta taharuki na machafuko, vyombo vya usalama vimeona isiwe tabu, mtu anawekwa kibra kimya kimya sasa hivi hadi j2 au j3 social media ikirudi kazi imeisha.
Hii ndio nini?!
NECCCM Tumeccm na Polisiccm wanalibaka sanduku la kura Tanganyika na kule Zanzibar wanaficha unyama unaoendelea kuleKuna jambo linakusudiwa kutekelezwa, laweza kuwa zuri kwa wengi au zuri kwa wachache
wafungulie December tuu
radio zipo....TV zipo.....magazeti yapo....na posta zipo
Kazi zake zipi zinainekana? Kwani mtukufu magufuli hutumia pesa zake binafsi tokea mfukoni au ni kodi za watanzania wote? Kwani maendeleo ni Hisani za CCM? ni pesa binafsi za CCM au pesa za walipa kodi?Ni ujinga tu na kukosa kujiamini..! Kila siku mnajinadi humu oooh jiwe kafanya hili kafanya lile... ni kweli kazi zake zinaonekana basi jiaminini kuwa mtashinda mnashindwa nini ?? Siasa zenu mbaya mbaya mnatuletea usumbufu sisi ambao tunawachagueni..!
CCM ndiyo hawajiamini ndiyo maana wamefanya huu upumbavu ili wapate mwanya wa kufanya uchakachuaji wizi wa kuraNi ujinga tu na kukosa kujiamini..! Kila siku mnajinadi humu oooh jiwe kafanya hili kafanya lile... ni kweli kazi zake zinaonekana basi jiaminini kuwa mtashinda mnashindwa nini ?? Siasa zenu mbaya mbaya mnatuletea usumbufu sisi ambao tunawachagueni..!
ICC tayari wanayo list ya kutosha mara baada ya uchaguzi watafikishwa ICC The Hague haraka iwezekanavyoTuna zidi kukusanya ushahidi wa kwenda ICC
ICC tayari wanawasubiria mara baada ya uchaguzi mkuu watafikishwa ICC The HagueKitendo cha Mauwaji ya Wananchi huko Visiwani na hapa Bara CCM imejichimbia Kaburi ambalo inaenda kuzikwa baada ya Uchaguzi