Wewe acha uongo. Hujataja hayo majina, unless ulitaja bila kuniquote so nikaipita post yako.Jamaa nimempa List ya Mabondia hatari waliopigana na Tyson wakiwamo hao uliotaja kapiga kimya.Tyson alitamba almost miaka 20, kipindi chote hiko alikuwa anapigana na wanyera tu?jamaa mbishi sana.MTU katetea ubingwa Mara 9
Sasa unachojua wewe ni kipi? Kutaja majina ya Ma bondia ndio kuja kwako? 😁 😁Hahaha hujui kitu
Uzi wako mwenyewe hujui kuufuatilia, rejea post yangu post number #60Wewe acha uongo. Hujataja hayo majina, unless ulitaja bila kuniquote so nikaipita post yako.
Wewe ndiye mbishi tangu jana nakwambia siku inamalizika na mada haina muafaka tukubali kutokubaliana badala yake umeamka na haya haya
Hii Point Nyepesi sana, nilichogundua wewe ni MTU wa ngumi, yaani mchezo unaujua hasa kwa maana uko detailed, mpaka kuanza kukuelewesha vitu ambavyo najua unajua aibu naona mimi,kinachonishangaza ni vile umeamua kushupaza shingo na kuanza kuongea kishabiki
Hivi wewe hujui kuwa ili kuwa bingwa kwa Mara ya kwanza huo mkanda unamnyang'anya bingwa??hivi wewe hujui kuwa mkanda huwa unautetea against highest ranking boxers wa wakati huo? Nakuomba uwe na heshima kwa mabondia waliopigwa na Tyson, ndio walikuwa bora kwa nyakati hizo mkuu.
Tyson Kachukua Ubingwa toka kwa Bingwa Berbick unawezaje kumu underrate Berbick kwa vihoja vyako dhaifu? Tyson Kamkalisha Frank Bruno, unamjua Frank Bruno wa Nyakati Hizo? Tyson kamkalisha
Unamjua Donovan Ruddock wa nyakati za Tyson aliyechapwa Mara 2 mfululizo? angepangiwa na nani nyakati hizo kama Ruddock?
Larry Holmes, Tony Tucker, Michael Spinks,Tony Tubbs na Tyrell Biggs ni majina makubwa ya Nyakati zake ulitaka apambane na kina nani nyakati zile??kuwa na heshima kwa hao mabondia, unadhani umemponda Tyson ila kwa sisi werevu tunaona umewakosea heshima mabondia waliopambana na Tyson
Zaidi katika mapambano ya Tyson utagundua ameanza kupoteza jioni sana mengi akipoteza baada ya kutoka Jela.Tyson ktk Ubora wake alipigwa Na Douglas Buster tu katika usiku wa Mshangazo kwa Dunia.
MPE Heshima anayostahili Tyson
Mi mwenyewe huwa nasikiasikia tu ooh tyson hivi mara tyson vile.. lakini nikiangalia clip zake naona ushubwada tu
Mimi najua boxing na historia yake kuliko nusu na robo ya wanaonipinga hapa.
Wao wanajua boxing kwa reference ya mtu mmoja. Wanakua wanarudia mambo yaleyale mpaka wanaboa. Watu wanne wanakuukiza kitu kimoja. Unakijibu sasa hivi baadaye wanakuja sita kuuliza kitu kile kile.
Mnatia aibu
.Sasa unachojua wewe ni kipi?Kutaja majina ya Ma bondia ndio kuja kwako? [emoji16] [emoji16]
Unahisi umeandika mwenyewe?Umejihisi unajua saana...Hongera !!
Kwahiyo unavyochambua siasa ni kwavile ushakua mbunge au diwani au siyo? Hivi stroke upo serious kweli?Ni sawa na wale wa kwenye mpira wa miguu mtu anajiita mchambuzi wakati hajawahi hata siku moja kuingia uwanjani na kucheza competitive match hata moja. Acha tuendelee kudanganyana.
Mtu kakamatia WBO, WBA na WBC kwa mda mmoja halafu anaitwa overratedJamaa nimempa List ya Mabondia hatari waliopigana na Tyson wakiwamo hao uliotaja kapiga kimya.Tyson alitamba almost miaka 20, kipindi chote hiko alikuwa anapigana na wanyera tu?jamaa mbishi sana.MTU katetea ubingwa Mara 9
Sasa mkuu utapataje mikanda mitatu bila kuwapiga best?Chief nenda katafute sehemu ambayo itakuonyesha Tyson alipigana na mabondia wakali wa kizazi chake na akashinda. Niletee majina tu ya mabondia 3.
Mzee kuna mabondia washachukua ubingwa kutoka kwa journeymen na underdogs na kuna mabondia wameshachukua ubingwa bila hata kuingia ulingoni.Sasa mkuu utapataje mikanda mitatu bila kuwapiga best?
Career ya Tyson ilikuja kuharibika mwishoni ila toka ananza kupigana 1985 mpaka mwanzoni mwa miaka ya 90 mpaka anaenda jela 1992 alikuwa by far ni boxer mzuri zaidi wa kipindi chake.
Anakuja kuhangaishwa na kina Evandar na lenox ni mwisho tena wa career yake baada ya kutoka jela. Na huwezi ukatumia mapambano ya Uzeeni na ukaacha ubabe wake alipokuwa kwenye prime.
Chief utapoteza energy zako bure huyu ni Hater, hater hanaga reason ya maana, yote haya watu tushamuambia toka Jana!!Sasa mkuu utapataje mikanda mitatu bila kuwapiga best?
Career ya Tyson ilikuja kuharibika mwishoni ila toka ananza kupigana 1985 mpaka mwanzoni mwa miaka ya 90 mpaka anaenda jela 1992 alikuwa by far ni boxer mzuri zaidi wa kipindi chake.
Anakuja kuhangaishwa na kina Evandar na lenox ni mwisho tena wa career yake baada ya kutoka jela. Na huwezi ukatumia mapambano ya Uzeeni na ukaacha ubabe wake alipokuwa kwenye prime.
Sasa hiyo ndo ikupe picha juu ya wanadamu [emoji1]mtu kakamatia WBO, WBA na WBC kwa mda mmoja halafu anaitwa overrated